Mimi mwlm wa shule ya sekondari Mkata iliyoko Handeni katika mkoa wa Tanga natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Tanga mimi niende Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai. Awe na barua ya usibitisho kazini.
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Handeni mkoa wa Tanga natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Tanga mimi niende Manispaa ya Moshi. Nina mwaka mmoja kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.