Recent content by amfifiro

  1. A

    Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

    Ushauri wangu. Ukiua na wewe hakikisha unajiua,
  2. A

    Car4Sale Nauza Nissan x-trail

    Engine bei gani
  3. A

    Nilikamatwa na Polisi, niteswa na kupigwa

    Niliskia tu kumbe kweli
  4. A

    Nilikamatwa na Polisi, niteswa na kupigwa

    Sina account tweeter, wala sina mjadala wowote nilioshirik
  5. A

    Nilikamatwa na Polisi, niteswa na kupigwa

    Bila sababu yoyote ile, ya msingi.
  6. A

    Nilikamatwa na Polisi, niteswa na kupigwa

    Ntatoa kifupi tu. Nilikamatwa na polisi nilipigwa na kuteswa kama mnyama kisha wakadai walipwe waniachie, la sivyo nilikua nakufa ndugu zangu, Sijui nifanye nn. Bado naumwa saana
  7. A

    Rais Samia katukomesha wenye Diploma kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Mpo wangap jihesabuni??? Huu unzi mmeview wangap??? PM in text za kutosha watu wenye busara hawawez kuchangia uzi umecomentiwa na wapuuuz kama wewe.
  8. A

    Rais Samia katukomesha wenye Diploma kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Maturity - Kila mtu Ana haki ya kukosoa kuhusu chochote.. Huo ndo msimamo wa rais wetu kipenzi. Unapokuja kumsemea wewe unakuwa against her government.. Tanzania has been declared as a democratic country. Any one's opinion must be respected, this is my right, I can not borrow it from any one...
  9. A

    Rais Samia katukomesha wenye Diploma kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Hata wewe kukubali ni kuwa ni muhanga ni mpuuz mkubwa.. Tena apo kwenu wapuuzi nyumba NZIMA
  10. A

    Rais Samia katukomesha wenye Diploma kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Hujui kiswahili na wote mliochangia in a negative way ni wapuuuz wakubwa aidha hamjasoma kabisa.. Neno koma halina tusi wala halichafui chochote. Fungua apo kwenye kamusi. Ya kiswahili.. Kama itakuambia lolote ni tusi. Ujinga mlojengewa kwenu ukiambiwa koma. Unaumia fara ww. Kumbe koma manake...
  11. A

    Rais Samia katukomesha wenye Diploma kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Acha ushoga wewe.... Mbona umewasha saaaaaana na uraia.... Ungekua huku ungefilimbwa mbwa wewe..
Back
Top Bottom