Recent content by AMETHYST

  1. A

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    huu ujumbe ni wa makame, kikwete na kiravu, na kinana, siyo wetu huu
  2. A

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Huo ni uchochezi...je TUME kuchelewa kutoa matokeo ni uungwana eeh...na mtatukoma hata mkitaka kukaa hapo magogoni bila ridhaa yetu, tutawasema mbele ya umma wote wa duniani na mbinguni ili ijulikaane ubakaji wa demokrasia mnaoufanya
  3. A

    Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

    Umesema yalokuwa mdomoni kwangu, huyu jamaa naye ni mtanzania au umri wake ni mkubwa sana kwa hiyo alifaidika na TANU na ASP?
  4. A

    Elections 2010 Alichokiomba Dr Slaa ni kusitisha kutangaza matokeo, sio Umwagaji damu

    Kama na huyu anawaza hivi, ameridhika na mfumo wa utawala uliopo ambapo Chenge, Lowassa ni wateule aimradi Mramba alikataliwa kwa nguvu ya umma, BASI bado tuna safari ndefu ya kujikomboa KIFIKRA:A S angry:
  5. A

    Elections 2010 Mteketa mbunge Kilombero

    You are damn right. Tunao utashi wa kujua ukweli na uongo, wema na ubaya, aibu na heshima..we have to do something kuhusu huyu dada na hili jimbo
  6. A

    Elections 2010 Mshaurini Slaa Agombee Uspika

    wewe ni mwanadewa:doh:
  7. A

    Elections 2010 Dr. Slaa: Tutatoa tamko letu wakati wowote kuanzia sasa

    Kuridhika kwako na mwenendo wa uchaguzi na matokeo yanavyotoka kunakutambulisha mlengo wako wa maono kisiasa na ili dunia iwe dunia, hata wa namna yako mtaendelea kuwapo
  8. A

    Elections 2010 Inasemekana Wenje alikataa mil 900 za kumwachia jimbo Masha!

    Yes we are so powerful when we choose not be bought by either gold or diamonds, I like what Wenje and Nyamagana citizens have done
  9. A

    Elections 2010 Angela Kizige Makamba-Chali Kawe

    Hii ikiunganishwa na ile ya alipokuwa mkuu wa shule inaaonekana mzee wamo kwa haka kamchezo
  10. A

    Elections 2010 Chadema chama cha umma - nguvu ya umma - ushauri - 'plan 'b'

    Nina wasiwasi na uwezo wako wa kuainisha mambo na utashi wako unakutambulisha kuwa unafaidika na EPA wewe...leo hii unahubiri dini kwenye taifa letu..kama ccm inataka kutawala, itatawala lakini tutawaeleza ukweli kuhusu EPA, Richmond, BoT, mbele yenu mchana kweupe na hamtatufanya lolote
  11. A

    Elections 2010 Regia Mtema aongoza kwa 1250, Fomu nyingine zimeota miguu!

    Shimbo, mwanajeshi anayefikiria kwa utashi mwepesi, alidai tukubali matokeo..yaaani hata huyu dada CCM wanataka kumuibia kura yake ili wabaki madarakani? hata huyu dada? hata huyu naye, hawaoni soo? hivi madaraka ni matamu kihivyo? Siamini ninachokisikia, ila wajue kuwa hata wao wana damu na...
  12. A

    Elections 2010 Kutibua ushindi wa mezani wa JK, Chadema idai kura za Urais zirudiwe kuhesabiwa.....

    waliofaidika na deep green na meremeta na richmond utawajua tu
  13. A

    Lawrence Masha - Mfano wa Ulevi wa Madaraka. Ajitangaza mshindi Nyamagana!

    THis You tube video clip will remain as a monument in the history of those irresponsible people who were given positions of trust and used them to please their boss regardless of the wananchi priorities..mbunge kijana mpuuzi kabisa kuwahi kutokea Tanzania, mwenye fitina na mlafi wa mali ya umma
  14. A

    Elections 2010 [NOT OFFICIAL]: JJ Mnyika: Tumeshinda kwa zaidi ya kura 20,000

    Kwa habari zilizochelewa hivi, vema kuweka na takwimu ili watanzania tulale jamani, sijalala tangu jana pleaseeeee, kura za kawe na ubungo ni muhimu zieleweke wazi ili dar es salaam kieleweke kuwa tunajua nini maana ya mageuzi
  15. A

    Elections 2010 Slaa yuko wapi?

    Hakuna anayekufa kwa pressure kama mafisadi na recepients wa vijisenti vya mafisadi kama wewe maana siku yenu ipo tu kila kitu kitaanikwa wazi..kama kina yona na mramba
Back
Top Bottom