Recent content by American Ninja

  1. American Ninja

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Historia za waraka wa TEC kwa Utawala wa Mkapa na Magufuli

    Moderator wamevaa miwani wa mbao
  2. American Ninja

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Historia za waraka wa TEC kwa Utawala wa Mkapa na Magufuli

    Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa watu, na kutoa maonyo makali kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu, hofu nchini, na hatari ya...
  3. American Ninja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda sana kunyonya uume wangu, je kuna madhara?

    Naomba namba ya mkeo nimshauri
  4. American Ninja

    JamiiForums Tanzania Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

    Hizo nyota unazozungumzia ni based on birth date, ila kuna nyingine ambazo zinaongoza kama zile za ancendance na hata midheaven, it depends
  5. American Ninja

    JamiiForums Tanzania This Is serious! Dar es Salam Ipo kwenye mgao mkali wa Umeme

    Unashindwa kuelewa maji yamekaukaje au kupunguq mwezi wa 4
  6. American Ninja

    JamiiForums Tanzania This Is serious! Dar es Salam Ipo kwenye mgao mkali wa Umeme

    Baba sisi hii ni tangu saa 12 asubuhi, hii ngoma kurudi itakuwa kesho mchanq
  7. American Ninja

    JamiiForums Tanzania This Is serious! Dar es Salam Ipo kwenye mgao mkali wa Umeme

    Wewe unaielewa hiyo hoja?
  8. American Ninja

    JamiiForums Tanzania This Is serious! Dar es Salam Ipo kwenye mgao mkali wa Umeme

    Dah mkuu hii hali haiwezekani kiumbe hai akaielewa! Ni zaidi ya mateso
  9. American Ninja

    JamiiForums Tanzania This Is serious! Dar es Salam Ipo kwenye mgao mkali wa Umeme

    Hii ni kwa Tanesco Aisee Sijawahi kuona mgao kama huu, Huku mbagala Chamazi sasa tunakatiwa umeme masaa 24, hadi zaidi! Tuliambiwa kuwa ni maboresho ila nimegundua wazi ilikuwa ni Propaganda ya Mgao wa umeme! Jamaa wanatafuta maeneo yenye population kubwa na watu duni kisha wanawakaba koo kwa...
  10. American Ninja

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO, Mbagala mnatuunguzia vitu kwa kukata umeme na kurudisha ghafla

    Kwenye Malipo yao wao hawqna masikhara ila hhudua yao ni takataka, waishukuru serikali kuendelea kuwabeba kwa miaka 60
  11. American Ninja

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO, Mbagala mnatuunguzia vitu kwa kukata umeme na kurudisha ghafla

    Mbande tumechoka mno na hali hii
  12. American Ninja

    JamiiForums Tanzania Kinywaji cha Mo Extra ni energy drink au siyo?

    Kazi ipo
  13. American Ninja

    JamiiForums Tanzania Mwenye uso wa mafuta, tumia mafuta ya ubuyu hutajutia

    Mods wameshamtambaliza
Back
Top Bottom