Recent content by Amenzi Buzinza

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Wanafunzi waliodahiliwa UDOM walistahili maana walikuwa na sifa zinazotakiwa

    Nadhani Jeska aondoshwe chuoni ili tufunge mjadala kwa kuwa ni kilaza!!!Hii itupe nafasi ya kujadili mambo mengine ya maendeleo ya nchi hii maskini duniani! Pia Rais wetu mpenda haki awe huru kulitumikia Taifa hili maskini kwa ukweli, ukweli mtupu na ili watanzania wote tuendeleze maombi juu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Tunakuja na bei elekezi kwa viwanja

    Kama ndiyo hivyo basi hata Waziri wa Kilimo,Uvuvi na Mifugo naye atoe bei elekezi na Mawaziri wengine wafuate mbona mishahara tuliyo nayo itakuwa ni mikubwa Sana hata tutaomba ipunguzwe kwani savings itakuwa kubwa mno mabenk yatajaa pesa!!! Jamani hivi Waziri anayeangalia riba zinazotolewa na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

    Hao wana mambo mengi zaidi kwenye Majonzi kuliko kwenye ubinadamu!!!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

    Jamani haya yote yanayotokea utafikiri Watu hawatambui uwepo wa makanisa/ misikiti au aina nyingine yeyeyote mahali ambapo watu huenda kuabudu na kukiri nafisi zetu kwamba sisi ni wema na tunahitaji kutenda mambo Mema kwa Jirani na marafiki zetu? Basi kama ikitokea mtu hatendi haki aachwe tu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

    Mimi naomba niongee kitu kuhusu mtoto wa Kabwe kukataa kupokea salamu za mkuu Makonda, nadhani huyu dada hakufanya vizuri hata kidogo!!! Hivi Mtoto wako au Kaka yako au Hata baba, akifanya mambo mabaya inapaswa asiambiwe au asiadhibiwe?? Jamani Watanzania tunaenda wapi iwapo kila Siku tunalia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Nani anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, tuone Hapa kazi tu kwa vitendo?

    Wote Ni sawa lakini ukimuuliza Dr Mtasiwa anayo majibu ya Watu gani ni watendaji kwenye idara nyetiza nchi kuna mtu aliwahi kuwa kwenye harakati za kupunguza vifo vya mama na watoto wachanga nchini kwa 8#'% kwenye vituo husika vya Afya na hii Mh Jr H. Mwinyi anaifahamu vizuri! Sasa watu kama...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Jipu ukaguzi wa magari UK

    Sisi tunapendelea sana short cut ndiyo maana huyo Jamaa yuko hapo kwa kuwa Siku zote yeye alikuwa anajua bongo Wote ni lalaaaaaa mbele/ nyuma yake wako wasela sasa ungepita wapi wewe Sungura???!!! Reality is.capital, kwani hatuwezi kuishi bila Rusha/ favour??)
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jipu ukaguzi wa magari UK

    Huenda majungu yana dalili nzuri!! Tuchukue majungu it leads us to somewhere !!! Regards
  9. A

    JamiiForums Tanzania Zitto atoa hoja ya Kufungamanisha Sekta ya Viwanda na Sekta ya Kilimo, ili kukuza viwanda

    Samahani niliimanisha Wabunge
  10. A

    JamiiForums Tanzania Zitto atoa hoja ya Kufungamanisha Sekta ya Viwanda na Sekta ya Kilimo, ili kukuza viwanda

    Hivi kuna shida gani wanunue wa vya ma nje ya Ccm kuwa mawaziri kwenye serikali?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Kwenye Simtank watakufa oxygen haiwezi kuwa nyingi kaka!!!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Aina ya ufugaji wa inchi kavu kwa namna moja au nyingine hautofautiani sana, tofauti ni jinsi ya kupata vifaranga vya Kambale
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Hii hapa ni picha ya hatchery yetu tunapoangulia mayai ya Samaki ili kipata vifaranga bora kabisa.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Hawa wana gm 480-500 tumewafuga miezi 8 sasa lakini hawa ni wazazi ndio maana wanakua taratibu kwa sababu tunavuna mayai Ili tupate vifaranga, kwa hiyo kila mara wiki wanasumbuliwa ingekuwa madume kwa ajili ya mboga yamkini wangekuwa wana uzito mkubwa hata gm 800 au zaidi
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    1. Unahitaji uwe na eneo lenye maji ya kutosha au uwe na kisima kirefu ambacho kina uwezo wa kutoa maji masaa yote. 2.Upate mtalaamu mzuri wa kuchimba Kisima chenye Urefu wa mita 1.5 ( pref excavator). 3. Ukishachimba inategemea aina ya udongo uliopo ( soil texture) kama sehemu ina chemi chemi...
Back
Top Bottom