[emoji28] [emoji28] [emoji28] Hasa kwani inakuwaje hadi ahame hii mpya Sasa au Kuna namna huwa mnagombana na ulishakaa chini kuuliza nyumba Zina mambo mengi sana
Kumbuka unazungumzia watoto hapo
Bado wanatakiwa kuwaza zaidi na zaidi yani kumbuka unaongelea mtoto je huyo mama na mtoto akikata ya 192k wakahudumia tatizo la 470k faida kwao ipo wapi?
Wanakula kodi kila sehemu wangewaacha watoto ingekuwa bora
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.