inabidi nicheke tu. Sikuwa na hakika kama bunge lilipitisha mkuu so nilienda with confidence pale PPF. Nipo Tanzania hii hii ambayo inanilazimu kutumia kwa uangalifu sana mitandao ya kijamii.
Niliajiriwa na kampuni moja binafsi kwa kipindi cha mwaka mmoja kabla ya kuondoka na kujiajiri mwenyewe. Sasa leo nimeenda kuangalia statement yangu na kuona kuna kiasi fulani kizuri tu.
Nikaomba form nijaze ili nichukue changu nikaambiwa haiwezekani hadi nifikishe miaka 55. Haya ni ya kweli...
Niliajiliwa na kampuni moja binafsi kwa kipindi cha mwaka mmoja kabla ya kuondoka na kujiajiri mwenyewe. Sasa leo nimeenda kuangalia statement yangu na kuona kuna kiasi flani kizuri tu.
Nikaomba form nijaze ili nichukue changu nikaambiwa haiwezekani hadi nifikishe miaka 55. Haya ni ya kweli...
Hii nchi tunaishi kwa kubahatisha sana. Inaudhi,inatia hasira na kama kweli ccm ikishinda tena tutahitaji consultant apime iq ya watanzania,system imefeli na kuishiwa pumzi. Nipo jimbo la kawe,kata ya mivumoni,wazo kituo cha lagos. Hapa ni upuuzi mtupu mihuri inaharibika,wino zinaisha watu ni...
Hajasema ataondoa foleni ya Dar kwa siku 21 kasema ataondoa folen ya mpakani Tunduma ndani ya siku 21 kitu ambacho KINAWEZEKANA ,Tunduma napafahamu sana.
Hii inasikitisha sana, nipo maeneo ya Tegeta, Wazo. Nilikuwa naangalia Live ITV from Jangwani mara umeme umekatwa, hadi sasa ninapost thread hii umeme haujarudi. Hili ndilo goli la mkono? Vyovyote vile huu ni mwaka wa mabadiriko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.