Recent content by Ame18

  1. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anafundisha masomo gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mbeya nije mwanza (nyamagana au ilemela) secondary
  3. A

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Waalimu nao wafanye NECTA za masomo yao

    Upo sawa mkuu hivi unafundisha iv maths, halafu meanafunzi hajui linear equation useme mwl ndo move???
  4. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliahidi kitu gani katika elimu yetu?

    Alisema HAPA KAZI TU Maana yake ni kwamba kila MTU ATAKULA KWA JASHO LAKE,SO Uctegemee cha ajira wala mikopo miaka mitano mtaisoma namba
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kike

  6. A

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hizi ni siasa tu,kinachotakiwa ni kuaangalia wapi kuna maadui wachache maana penye adui wengi tukiwapa madaraka watatuangamiza.Kwa hiyo bado ukawa ipo mbele kwa mbele kwa maana maadui wapo wacheche hawawezi tushinda au siyo wananchi wenye mapenzi mema na nchi yetu!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

    Ni nomaaaaaaaaa aiseeeeeee
  8. A

    JamiiForums Tanzania Transfer

    jamani mnisaidie hili,mwanzoni nilichaguliwa st joseph coz ya BEISNE ila kulingana na ada kubwa nikaomba transfer kwenda DUCE lakn hadi sasa sijaona lolote kutoka TCU sasa najiuliza kwamba nipige chini mwaka
  9. A

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    kwani walijibu kwa sms au wameamua kutoa hivyo hivyo bila cha sms
  10. A

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    je na tuliomba kupitia tcu inakuaje?
Back
Top Bottom