For AMCAT Employability Assessment takers it costs nothing, only your time and your internet connectivity. Above that you really make good use of your time and make yourself available to best employers in the market. Getting a job becomes easy with good results.
It is an assessment which job seekers do online in the following areas: English, Logic, Quantitative, Personality + more than 200 modules. The results are kept in a database which top employers have access and can use it for recruitment purposes. The higher the scores the more likely you are to...
Hi Guys,
ZoomTanzania's Office will be open this coming Saturday 08.08.2015 for anybody who wants to do AMCAT Assessment.
If you want to book for the AMCAT Assessment call me on 0785 872 256 and I will make for you a reservation.
Ndiyo Dr. Wansegamila. Ni lazima uwe na webcam. Kwa wale ambao wanapata shida na webcam wanaweza kuni PM. Kuanzia tar. 08.08.2015 watu wanaotaka kufanya AMCAT wanaweza kuja kwenye ofisi za ZoomTanzania tumetenga compyuta kadhaa ambazo kwa siku za jumamosi test takers wataweza kuzitumia. i bure...
AMCAT is an internationally recognized employability test used by leading employers in many countries to identify and recruit top talent.
AMCAT certification is free.
More than 2 Million job seekers have already taken AMCAT.
It is an online test, you can do it at home at your convenient time...
Nenda ZoomTanzania, fanya amcat test utapata matokeo na employability certificate ambayo unaweza kuambatanisha na vyeti vyako. Itakusaidia kupata kazi mapema zaidi.
Nina ushauri muhim kwa watafuta ajira Tanzania.
Kuna Employability Assessment inaitwa AMCAT kwa hapa Tanzania unaweza kujisajiri kwenye tovuti ya ZoomTanzania.com/amcat
Uzuri wa hii employability assessment kwanza kabisa ni bure, halafu unapata results siku chache baada ya kumaliza test...
Kuhusu kupata kazi kupitia tovuti ni kitu kinachowezekana lakini inabidi tu kuwa makini kwani matapeli ni wengi siku hizi.
Lakini kwanini tusifikirie kubaki hapa nchini kwetu na kuliendeleza taifa letu la Tanzania. Kuna sector ya Oil & Gas ambayo bila shaka itatupa fursa ya pekee Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.