Recent content by Ambuje Akunnungu

  1. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Tanzania na kenya: Tofauti za kiuelewa kwa wananchi wa kawaida hadi kwa wanataaluma. Kumbukumbu ya gwiji mzee wangu MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

    NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA. Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya jumuiya moja ya Africa mashariki na zina historia ya kiasi fulani ya utawala wa kingereza kama...
  2. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Wanao nunua spare za magari tukutane hapa

    Vp AC compressor ya Noah old model 3s bei gani
  3. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotaka mtumishi wa umma kubaki na walau moja ya tatu ya mshahara wake, haukufanyiwa utafiti wa kutosha na utaratibu huu umepitwa na wakati

    Itakuwa si mtumishi wa umma, na haujafanya utafiti wa kutosha kabla ya kuandika.
  4. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotaka mtumishi wa umma kubaki na walau moja ya tatu ya mshahara wake, haukufanyiwa utafiti wa kutosha na utaratibu huu umepitwa na wakati

    1/3 ni nzuri Sana tuliza kichwa, uliza watumishi hasa walimu watakupa experience zao kabla na baada ya huo utaratibu maisha yalikuwaje. Mwaka 2009 yupo mtu aliacha kazi kwasababu ya kubakiwa na mshahara wa elf 30 kwa mwezi, akaona ni kupoteza muda
  5. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

    Ni kweli maendeleo ya kiuchumi/kijamii yanahitaji takwimu sahihi, lakini je nikweli takwimu hizo ni pamoja na dini ya mtu? Kwamba eneo hili linahitaji kituo cha afya basi tujue watu wake ni dini gani? Naomba nikuulize, umetetea kipengele cha dini kwa hoja hiyo hiyo ya mazishi ya mazishi au...
  6. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

    Kipengele cha dini ni upuuzi kuwekwa kwenye sensa. Sensa inalenga kutathmini maendeleo mutually na sio mafungamano yake na dini. Sioni hoja yeyote yenye msaada uliyoitoa pale serikali itakapogundua mikoa fulani iko nyuma kimaendeleo kwasababu watu wake ni wa dini fulani, zaidi ya kusema...
  7. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai alikuwa na hoja ya msingi, tatizo sio kukopa bali kukopa wakati kuna tozo za miamala ambazo mlidai zanajenga madarasa na vituo vya afya

    Zifutwe Tena? Mahitaji ya madarasa elfu 10 ni mahitaji ya leo, baada ya miaka kadhaa mahitaji yataongezeka Kama ambavyo idadi ya watu inaongezeka. Unataka tukakope tena wakati huo ukifika? Jitahidi uelewe suluhisho la muda mfupi na muda mrefu kwa manufaa ya taifa
  8. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Tunauza magari aina zote

    Post Noah old model ulizonazo
  9. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Ntendele alakwe, liisha lingamwile palukozi, kuzoza unafuu.
  10. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Mzee uliipata?
  11. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Ramani na ukadiriaji wa materials

    Weka na bei
  12. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukamatwa ugoni tukutane hapa

    HaaHaaaa
  13. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

    Hivi kugonga chini huwa ni kufanyaje? Naomba ufafanuzi mkuu nijue
Back
Top Bottom