Mkuu Moro Dom parefu hahaaaa 260 km aaaah wewe kweli hatariiiiiiii
Siku ya kurudi nilipachukulia poa kumbe bhana Bora dar Moro ila Moro Dom mmmmh mbaliiii aiseee
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia 💯 kabisa huon umetumia masaa 13 kutoka Dom to mwanza .
Alafu point kubwa hapo na fundisho chombo uwe na uhakika kipo sawa na service kama alivyosema Sasa
Point yangu kusafiri usiku ni vizuri zaidi kuliko mchana chombo haichemki kupoteza nguvu sio rahisi...
Nilikuwa nasimama simama Picha sanaaa ilikuwa tour adventure Moja ya maana sanaaaa
One day nitanunua Ile ya 250 cc nayo niione kwa route ndefu kama hizo
Aaaaah arooooh hii inaitwa kaambali na watotooo au weka mbali na watoto
Nilikuwa na toyo 150cc
Nilitoka dar mchana nikaenda kulala Moro kwa ndugu yangu na baadhi ya vitu nilichukua
Nilitoka usiku saa 10 alfajili Moro to nzega vijijini bukene zaidi ya km 700 nilifika saa 4 usiku nilitembea...
Kaka lucha ulisafiri na snl 125cc mwanza to Moro ulitumia siku ngapi au mwanza ulitoka saa ngap na Moro ulifika saa ngapi kwa kumbukumbu zako maana ni mda mrefu kidogo
Makadilio Lita ngapi za wese ?
Ok sawa sawa mkuu aisee very nice kuhusu kupumzika vituo vilikiwa vingapi na Kila baada ya mda gani unaliamsha tena aiseee hapa Kuna shule na umakini na usalama nimeipenda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.