Binaadamu kiumbe jeuri sana.
Umeumbwa kutoka kwenye tumbo la mamaako kama tone la manii kisha ukawa pande la damu kisha pande la nyama mpaka kua kiumbe kamili, umezaliwa ukiwa huna unalolijua.
Eti baada ya kua na ufahamu unakanusha uwepo wa Mungu aliekuumba [emoji3]
Hii dunia miaka 1500 tu...
Nikisoma izo comment umu wengi wanajifanya wajuaji sana na great thinkers but deep inside akili zao ni matope [emoji23][emoji23].
Kama we ni msomi utakua unafahamu kuna vizazi viliishi duniani na kufanya mambo mengi ambayo wanasayansi wa leo bado hawaelewi vilifanyikaje. Vizazi hivyo mpaka leo...
Hii dunia ina mmiliki wake ambae ni Mungu na baada ya kuleta wanaadamu alijua kuna mengi tutatatizika hivyo akaweka sheria zake ili tunapotatizika turejee katika sheria zake.
Tukija kwenye sheria ya Mungu anasema
Msiwaite watoto mnaowalea kwa ubini wenu bali waiteni kwa majina ya baba zao...
Je wewe ni mkulima wa miwa na huna soko lenye tija la kuuza miwa yako. Njoo nikuunganishe na soko la uhakika na lenye faida... Utasimamia mwenyewe hatua zote kuanzia shamba hadi sokoni.
Email: eckomagri@gmail.com
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Ungefanya risk management nzuri sana kama hiyo pesa yako ungewekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji hekari 60 tu kuliko kulima ekari 150 kwa kutegemea mvua. Anyway kila la kheri katika safari yako. Ulete mrejesho
Kama unataka kufanya hio biashara serious na utengeneze pesa uwe na mtaji wa at least 20mill. Zungusha hiyo pesa yako ifikie hapo then rudi uombe tena ushauri utapata muongozo.
We mtoa mada kama unaamini Mungu ndie ameumba wanaadamu basi lazma ujue kuna sheria zake zinazopatikana katika misingi ya dini. Kasome dini ya uislamu ufahamu vzr na ukristo ufahamu vzr ndio ulete tena mada. Maana hapo umebwabwaja pumba tupu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.