Watu wanamisimamo utafikiri walishawai kumuona hata masihi, waafrika wote tumerithi dini, kwakuwa umezaliwa ma muislam unakuwa muislam na ungezaliwa na ukisto ungekuwa mkisto. Sasa hiyo imani kama umemuona yesu au muhammad umeipata wapi dada olewa, achana na maneno ya watu jaribu mwenyewe...
Unajua hata ungeenda kwa shekh nae angevutia upande wake, unatakiwa uweende kwa washauri walio normal kwenye swala la dini sasa wewe washauri wako wapo juu sana kiimani ni ngumu kukupa perfect ushauri.
Usimshauri mtu kwa mfano wa mtu mmoja, jitaidi kuwa mchambuzi wa swala kwa kina. Ukweli dada unaweza ukaingia kwenye hiyo ndoa ikawa mbaya na yaweza ikawa nzuri yenye furaha katika maisha yako yote. Family itaenda ila itafikia sehemu itakubari matokeo. Na wewe ndio utakuwa judge wa maisha yako...
Mwanaume kiumbe dhaifu juu ya matamanio na hamaanishi hampendi mkewe.anampenda sana ukitaka kutest mchepuko uingilie swala la family yake. Kikubwa heshima na wanawake acheni upeku upeku mtajiumiza roho
UNAPOTOA MAADA LAZIMA UWE MAKINI NA MAKINI NA UTUMIE BUSARA SANA SIO KWA SABABU UMEONA JAMBO KWENYE MTANDAO NA UKALISOMA NA JINSI ULIVYOLIELEWA WEWE BILA KUPATA USHAURI UNAENDA KULITUNDIKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII NYAKATI NYINGI LAWEZA KUKUGHARIMU
Unajua kitu usichokuwa na elimu nacho ni mbaya sana kujitoa kifua mbele,mawili utakuja kuzalilika au cv yako itashuka na kupoteza umaana wako na ukaonekana mpumbavu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.