Poa xna Ccm imepoteza network hadi sasa magufuli kila kona anatembea na wasanii kama 11 kuitaa watu wajee mahana Ccm awanaa jipya mm najiuliza hii ni fiesta au kampeni jamani chech mkutano Wa Ccm tanga Jana tare 8 utacheka@ alafu chech wazee Wa Kazi ukawa na president lowassa ni shidaaaaaa Hapa...
Sharia gani kavunja kwenda kusali au ww acha kudanganya umaaa@ boy rest in peace Ccm check vidio fresh acha wenge kasema lowassa naomba mniombee naombaa mniombee watanzania wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.