𝗔𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗮𝗽𝗽 𝘆𝗮𝗸𝗲
Ramsi sasa akili bandia inapatikana app yake najua watu wengi walikua wakitafuta app za akili bandia kupitia soko la play store pamoja na app store wanakutana nazo nyingi alafu aziko seriously sana.
kampuni ya OpenAi Ramsi imeleta app ya ChatGpt kwenye...
UZI[emoji3468]
Kama shabiki na mtaalam wa AI katika ChatGPT, ninayo furaha kushare ufahamu wangu kwenu. Katika uzi huu, nitajadili msingi wa ChatGPT, muundo wake, na jinsi unavyofanya kazi. #ChatGPT #AI
Kwanza kabisa, ChatGPT ni nini? ChatGPT ni mfano wa lugha/language model iliyoundwa na...
Kwa nini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?, Windows 11 haijawa successfully kama tulivyotegemea mbali ya kuwa na features na Promo kubwa?
[emoji599]: Unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini?
T” inamaanisha “Turbo Charger” na X ni “maximum traction” ni sawa na kusema all-wheel-drive,na pia inauwezo mkubwa wa kutembea off-road kiufupi ni ile go-anywhere snow, dirt, and gravel.
Kwa wapenzi wa hiphop hivi mmepata na nafasi ya kusikiliza hii nyimbo mpya dizasta vina hatia V aisee kuna ubunifu mkubwa umetumika sana humo hata akifa leo nyimbo zake zitasikilzwa milele jamaa anajua sana. Vipi maoni yako mwana #JF #DIZASTAVINA #HATIA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.