Recent content by Aman peaceful

  1. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanaume baadhi wa Dar zinaendana na dalili za ushoga

    na hiv vimvua et kuruka kimtaro tu mpaka wabebane kaah!!!
  2. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    [emoji1] [emoji1]
  3. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    kuna huu ukwel mkuu! nature alkuwa mtt wa nyumban asee
  4. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Simba kutangaza ubingwa Mbeya leo...sio Singida

    hongera Mtabiri yaan ile kweny kochi tu ubingwa huu hapa!!! ya mbeya yanafurahisha!! #ssc
  5. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    hatariii sana mkuu
  6. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    kamua babaa kamuaaa hahaa hatariii sana mkuu
  7. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    hakika mkuu ..wengine watasubir sanaaaaaa
  8. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    hakika Mkuu! Mungu awabariki sana kwa Alama muhimu walioiacha.
  9. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    hahaa kuna ukwel hapo mkuu?!
  10. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    Hakika mkuu! Produza wa sasa wana mengi ya kujifunza kutoka kwake coz yeye alikuwa ni full kipaji! naskia msanii kurekod bongo recorz enzi hizo lazima uwe umejipanga haswa! ukizngua tu ni mitusi toka kwa P!
  11. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    Kiufupi ilikuwa ni kutoka nae kimwil mkuu! Hakika kipaji chake cha muziki ni kitu cha kujivunia sana mkuu
  12. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    Wasaalamu WanaJf popote mlipo..! Nimeona ni bora leo tukaukumbuka ufalme wa Prodyuza mkali bongo na East Africa kwa ujumla ndugu Paul Majani! Ukiachilia mbali Kipaji chake cha kutengeneza midundo mikali ya wasanii mbalimbali, P majani anafahamika pia kwa Ukorofi wake hasa ukimzingua! rejea...
  13. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mwalimu niko Uingereza napiga kazi

    hii fursa ntairudia siku moja! shukran kaka!
  14. Aman peaceful

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mwalimu niko Uingereza napiga kazi

    bravo ngosha! ktambo sana naifatilia hii thread! thanks kwa elimu pia ulotupatia ya huko ulimwengu wa kwanza!
Back
Top Bottom