Recent content by Aman Ng'oma

  1. A

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 400 linauzwa Ruvuma

    Hapana ndugu yangu hili hatutaki kulikatakata tunahitaji mwekezaji mkubwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 400 linauzwa Ruvuma

    Habari wakulima wenzangu, Kampuni ya Kinasoru East Africa (T) Limited inauza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 400 ambalo lilinunuliwa kidogo kidogo kutoka kwa wakulima tofauti kwa ajili ya uwekezaji wa Kilimo. Shamba hilo limejitenga na linafaa kwa kilimo cha Mbegu za Mahindi, Mahindi ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mama punguza upole, mboni zako zinachezewa

    Kuna kikundi cha watu hawataki kukuona ukiwa kwenye kiti ulichokalia. Wanaleta Kila aina ya chokochoko. Wanafanya hivyo kwasababu ya upole wako na roho ya huruma ya kimama uliyonayO hivyo wanakuchukulia poa. Nadhani sasa umefika wakati wa kuwa bandidu na kutocheka na "wowote" Manyang'au hawana...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuona uzuri wa Tanzania ukiwa Tanzania

    Mimi hata ukinipa siku moja inanitosha kupata picha kamili ya watu na maisha yao
  5. A

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuona uzuri wa Tanzania ukiwa Tanzania

    Naweza kukuelimisha jambo. Uingereza pamoja na mambo yote Lakini bado nitasema watu Wana suffer kuaccess huduma bora. Malazi kwao ni issue. Gharama ya Maisha iko juu. Hata chakula tu ambacho ni basic need kule siyo rahisi kuaccess. Pato la taifa ni kubwa ukilinganisha na Tanzania lakini Watu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuona uzuri wa Tanzania ukiwa Tanzania

    Kote huko Nishafika. Nairobi wanalia njaa tu. Hamna kitu. Ipende Nchi yako na ujue una Nchi nzuri sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuona uzuri wa Tanzania ukiwa Tanzania

    Waafrika tunakasumba ya kuwaona wazungu wanaoishi Ulaya kama watu wenye maisha mazuri kuliko Waafrika wanaoishi Afrika. Tumeitukuza Ulaya na Wazungu wanaoishi huko kuliko waafrika wanaoishi Afrika. Wazungu wamejitahidi kujipamba na kujipambanua kwa Waafrika kuwa Ulaya ni kuzuri na kuna maisha...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanalia na kugugumia Moyoni

    Maandiko katika vitabu vya dini yamebainisha wazi kuwa mwanamke ameumbwa ili aje kuwa msaidizi wa Mwanaume. Msaidizi maana yake ni kufanya kazi sambamba na Bosi. Popote alipo Bosi msaidizi naye anatakiwa awe pembeni au Bosi akisafari, majukumu yake yanakasimishwa kwa msaidizi au vyovyote...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

    Asante ndugu yangu, vijana watafuta mafaniko ya haraka siku zote huwa hawataki waambiwe ukweli. Lakini kwakweli na majanga kwa vijana wetu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

    Wapenda mafanikio ya haraka utawajua tu na hao ndiyo wanaopapatikia michezo ya kamari na betting. Sina haja ya kumpangia mtu katika maisha yake lakini kitu ninchoona kinaangamizi vijana ni wajibu kuzungumza.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

    Siwezi kukimbia kwa hoja dhaifu zinazotolewa. Taifa linateketea kwa kwa kukithiri kwa michezo ya kamari. Hata mafundisho ya dini yamekataza kamari. Endelea kucheza kwa kuwa kila mtu ashin de mechi zake.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

    Bora uwe masikini lakini si kuwa tajiri kwa kazi za kubet
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

    Ujumbe umefika. Mwenye akili amesikia. Kazi zipo nyingi ila kama umeona hiyo ndiyo kazi inayokufaa hakuna anayekuzuia endelea kufanya utakuwa milioneo soon.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

    Vijana wengi wanaishi kwa matumaini yasiyokuwepo. Wanawaza ipo siku watamla mhindi anayechezesha betting. Na imekuwa kawaida sasa hivi vituo vingi vya habari nao kuchezesha michezo ya kubahatisha. Unakuta unaangalia runinga mara kipindi kinakatishwa kwa tangazo au kumtangaza mshindi wa mchezo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Dkt. Magufuli chaacha sintofahamu kubwa kwa wafanyakazi

    Tukiwa bado tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu, mchapa kazi hodari, mtu wa matokeo, msimamizi makini wa pesa za uma, mwenye kuhakikisha kuwa pesa iliyotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inatumika kwa malengo husika na aliyetufundisha mengi na hasa uthubutu wa kuyaendea mambo. Kwa...
Back
Top Bottom