Recent content by Aman Igalawa

  1. Aman Igalawa

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia nina kibamia pia uume wangu hausimami vizuri naomba msaada

    Hhhh ko aweke picha ya tatizo eti?? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Aman Igalawa

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia nina kibamia pia uume wangu hausimami vizuri naomba msaada

    Daah doctor utamuuua mgonjwa sio kwa kumuuhoji huko Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Aman Igalawa

    JamiiForums Tanzania Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe

    Mleta mada jaribu kuongea kitu chenye uhalisia na sio kuleta mambo ambayo hata kuanza hayajaanza Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Aman Igalawa

    JamiiForums Tanzania Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

    Kaka unataka kubeti nin Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Aman Igalawa

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Matokeo ngap ngap wadau Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Aman Igalawa

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Ntyuka Dodoma inatia aibu

    Kiukweli hali inatisha na sijui kwanini serikali imekalia mambo ambayo yananufaisha mwananchi mmoja mmoja badala ya kufanya mambo yatayo nufaisha watanzania wote kitu kama barabara haswa zinazoelekea kwenye huduma za jamii zafaa zipewe kipau mbele na si kingine Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Aman Igalawa

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwel kinacho takiwa tupate nuclear weapon kama ya debrune asee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Aman Igalawa

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuendesha biashara ya duka

    Jaman kwa anaejua njia bora za kuweza kutoka kwa biashara ya dukan yaan vitu vya kupima kama mchele maarage n.k ushauri wenu pleaz
  9. Aman Igalawa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    Chamsingi ni kufanya yaliyo sahihi katika maisha sababu hatujui lini saa na dakika tutaja ondoka R.I.P Brothers Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Aman Igalawa

    JamiiForums Tanzania Nataka mwezi wa nne 2019 niende Comoro nikijaliwa

    Kaka ukishaenda utujuze huko more information Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom