Recent content by Aman Cosmas

  1. A

    JamiiForums Tanzania msaada kuflash iphone 5

    npo dar es salaam
  2. A

    JamiiForums Tanzania msaada kuflash iphone 5

    inaomba apple id na apple id za alikua anaitumia czijui
  3. A

    JamiiForums Tanzania msaada kuflash iphone 5

    ambae anajua kuflash iphone 5 anisaidie hata akiwa anajua sehem ambapo ntapata msaada anielekeze asante
  4. A

    JamiiForums Tanzania msaada kuflash iphone 5

    kuna iphone 5 hapa ipo locked anaejua kuflash naomba msaada
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mbwa mbegu kubwa(wawe wa miezitatu mpaka nne)

    nenda maeneo ya victoria pale kuna watu wanauza mbwa wazuri
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku

    contact zangu hizo hapo 0758422708
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hesabu kwa siku ya Bajaj

    kila biashara ina changamoto zake ss usitegemee kuona ki2 kingine tofauti na hayo matatizo. ukiwa kama mfanyabiashara lazima upambane na changamoto zozote zile
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku

    nipe darasa mdau nipo tayari kufuatilia
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku

    nimefuatilia nimepata mwanga lakini bado haitoshi nataka kujua zaidi kuna vitu vingi sana kwenye ufugaji
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku

    ss mdau mtakuona vp aisee nipe contact zako
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku

    habari wana jf kama title inavyo sema naomba kujua mahali ambapo nitapata elimu ya ufugaji wa kuku iwe wa kienyeji wa kisasa. mn nakaa dar es salaam tumefunga chuo ss mpaka mwezi wa nane sina kazi nyumbani naombeni msaada wenu tafadhali asante
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hesabu kwa siku ya Bajaj

    umeshindwa kusimamia bajaji ije iwe m-pesa tigo pesa hahahahaha jifunje biashara
  13. A

    JamiiForums Tanzania Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    thankx mamaNa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini nilisema kama ukiwa na fomula hii utaishia kuteseka kiuchumi?

    mkuu maneno yako niya kweli kabisa watanzania wengi yani akifumania kihela kidogo anawaza kujenga. hawazi mbinu ya kuifanya pesa aliyoipata ijizalishe. 2badilike aisee tusiwe waogo kufanya maamuzi magum
Back
Top Bottom