Mm ni Mtanganyika na sioni faida ya muungano kwangu. Kwa namna wanzibar wanavyowanyanyasa wa watu wa bara ni dhahiri huu muungano ni kwa faida ya hao ccm waliopo madarakani ila sio kwa watanganyika wa kawaida
Hivi kuna haja gani ya kufanya uchaguzi 2025 wakati viongozi wanapanga wao. Kwanini wasichaguane wenyewe kwenye chama na hayo mabilio ya pesa yakafanya mambo mengine?
Rangi ya ngozi yake ni nyeusi, urefu wa kimo tunaendana japo nimemzidi kidogo. Napenda sauti yake anaponiita mpenzi wangu Errick.
Ananishauri sana kuhusu maisha na pale ninapo mshauri kuhusu jambo lolote hulifanyia kazi bila kipangamizi chochote.
Vumi amekuwa faraja kwangu na nimezama kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.