Recent content by Amagezi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Uonevu manispaa ya kinondoni kukamata magari parking pembeni mwa barabara

    Kuna kamatakamata ya magari ukiparki pembeni ya barabara huku pembeni ya mji hata kama unaingia benki,dukani,supermaket nk. wakidai wenye maduka na mabenki au TRA walipie manispaa parking hizo kwakuwa eneolote la pembeni mwa barabara nieneo la manispaa na wanamkakati wakulitafutia mzabuni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kamatakamata za magari wrong parking nje ya mji.

    Eti ni haki kuvutiwa gari parking za nje ya mji kama mwenge,sinza, nk.. ukipaki pembeni ya barabara wakidai wanasafisha jiji nfano nilipark TRA nje ndani kulijaa na wakanicharge tsh 195000. wakidai nimkakati wa manispaa kusafisha jiji, nanilipoenda manispaa kupata maelezo yakuvutiwa gari sehemu...
Back
Top Bottom