Hujui unaloongea na kwa vile huujui ujasusi, hujui nini maana ya upelelezi na zaidi ya yote hujui maana usalama...!!!!! Kwa hiyo sii tatizo sana kwako kusema hivyo...!!!!!
Nakuamini sana nami nimekuwa na mashaka hayo tangu yule mwanajeshi aliyetoroka na nyaraka na kwenda zake kwa Kgm...!!!! Kama kuna wanao kubeza sawa lakini nadhani kamwe nchi yetu haitakuja endelea kwani hakuna anayependa tuendelee. Kila jirani hatupendi huku tukijifariji. Si tu Kgm hata Knyt...
Ubaguzi haukusaidii...!!!! Wivu haukusaidii..!!! Kuna shida gani Mtanzania kualikwa ikulu ya nchi yake...!!!!! Ni hilo tu linalokukera kwa rais au una jambo jingine lililojificha ambalo limekuwa proveked na hili..??? Fanya mazuri utaalikwa. Hao wengine uliowataja sina hakika kama ulitaka...
Mkuu si BBA tu ndiko kunafanyila ngono. Dunia yote tena kwa sasa niwaziwazi kabisa. Vyuoni, makambini, na sehemu zote. Angalia mavazi ya sasa ndugu yangu. Alichofanya mheshimiwa raisi ni kumpongeza aliyepeperusha bendera ya nchi...!!!! Hakuna kosa. Usiwahukumu BBA kufanya ngono kwa sababu...
Simtetei rais. Kinachoniuma ni wewe kumtukama matusi makubwa namna hii..!!!! Anayoyafanya kama kiongozi wetu yanaumiza sana. Tatizo ni matusi yako. Katika mengine niko nawe lakini kwenye matusi hapana usifanye hivyo mkuu. Bado ni kiongozi wetu huyu mkuu...!!!! Wote tunaumia lakini ndo aitwe...
Haya maneno yametoka kwa mtu mwenye timamu kweli..?? Mkuu kumbuka huyu ni Raia wetu na usimtusi namna hii mkuu. Umefika mbali mno. Uhuru usikufanye uwatusi watu namna hii mkuu. Naumia sana kwa sababu huyu ni Rais wetu tuliyemchagua..!!!! Hata kama akiboringa namna gani TUSIMTUKANE. Baba yako ni...
Ndo umuite s.h.o.g.a...!!!?? Unajua maana ya shoga kweli...!!!?? Kama unajua ni halali rais wa nchi yetu kuitwa shoga...??? Wewe utakubali kuitwa shoga ukiwa na familia yako...!!!! Hapana this is too much na umekwenda mbali mno mkuu. Hekima ya mtu huonekana hata katika maandishi yake. Kama kweli...
Ndo umuite s.h.o.g.a.....????? Unajua maana ya shoga...???? Ni halali kweli kumuita Rais wa nchi shoga...!!??? Hapana umekera sana mkuu. Ni tusi kubwa mno tena sana. Wewe ukiitwa shoga utafurahi...!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.