Recent content by alyasau

  1. alyasau

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Sababu kubwa ya kumpendekeza zitto kwanza ni kijana,tunaamini kuwa anauwezo mkubwa,anamuda wa kutosha ktk siasa,pia ni mtu makini,mwelevu,pia anauwezo wa kututoa hapa tulipo kwenda mbele walau hatua moja kuliko kuendelea kusimama slaa ambaye umri umekwenda hatoweza kujali baadh ya madai wa jamii...
  2. alyasau

    Rais 2015 ni Prof.Lipumba toka CUF

    nasikitika na comment za watanzania ambao wanashindwa kujielewa kama nyny wote mlio comment hii title.Tanzania ya leo hatuitaji chama gani tunaitaji mtu gani mwenye uwezo wa kuongoza na kututoa hapa tulipo tufike pale tulipo stahili!! hatuitaji CHADEMA wala CUF wala CCM tunaitaji uwezo wa mtu...
  3. alyasau

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    ni kweli ulichokisema kuwa kati ya Zito na Slaa nani awe Rais.Mm nathubutu kusema kuwa hawo wote hawana sifa za kuwa rais coz tunaitaji rais ambaye yupo kwa maslahi ya taifa nasiyo maslah ya chama wala maslahi ya dini yake,pia aongoze inch kwa kuheshimu dini zote bila upendeleo.lkn cha msingi...
  4. alyasau

    Rais Kikwete akutana na wahariri; asema madai ya walimu hayatekelezeki!

    Nampongeza sana rais JAKAYA KIKWETE kwa kutoa hutuba nzuri sana na kuelezea swala la mgomo wa walimu Big Up Rais!!
  5. alyasau

    Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?

    Ni kweli lkn kwa nini haya yapo? Na kwa nini wengine wakose? Na wengine wapate? Suala la udini tanzania liliasisiwa mwl.nyerere na ndiyo maana waislam wanatakakulifuta.je wajua chanzo cha kuwepo mapumziko siku ya jumamosi na jumapili. "no right to say without research"
  6. alyasau

    Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?

    nakubaliana na ulicho kisema lkn kuna umuhimu wakujua nini maana ya dini kama utalifahamu uwezi kutenganisha dini na siasa tujitahidi kusoma tusilete fikra finyu nakusema tutenganishe siasa na dini!!!!
  7. alyasau

    Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?

    sawa ulichokisema lakini hatuwezi kutafuta maslahi ya inch ikiwa ndani ya inch kunawatu wanaangalia maslahi ya dini yao cha kwanza tuweke usawa ndani ya dini zote ili tuweze kudai maslahi ya inch yetu.kwa nini wengine waonewe na wengine wanufaike na inch ambayo tunasema haina dini ni mbaya sana...
  8. alyasau

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    katika masikitiko makumbwa ambayo nimeyaona yamejitokeza ktk uundwaji wa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya sijasikia hata jina moja la kijana ambaye ameingia ktk tume hiyo.je inamaanisha kuwa vijana hatuna nafasi ktk maamui?
Back
Top Bottom