Mkuu mbn povu lakutoka, jamaa alichosema ni mtazamo wake kuhusu Taasisi, alafu Kuna umuhimu gani wa kukamata mitopic isiyo na faida maishani mwa mtu, wengine mwaka wa 4 huu hawana ajira tangu watoke vyuoni, hiyo bank reconciliation itamsaidia nn mtu Kama Hana sehem ya kuapply hiyo au hata bank...
Sidhani Kama geresha itakua possible kwa kigezo cha NIDA #, anyway kama uwezo unao hata Kama upo mbali it's better to try your luck.. Maana 50+ nafasi ni nyingi Sana hasa ukilinganisha kwa usawa huu wa uhaba wa ajira tulio nao, kila siku kutangazwa nafasi moja au mbili, itakua more than 50+!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.