Recent content by Alvin mo

  1. A

    African Satellite World and Sat Gear

    Nina meecast ni model mpya ambayo imeboreshwa signal ic yake ni strong pia ina mfumo wa iptv ina akaunt ya mwaka, unaweza kutumia ivo kawaida kwa dish au ukiwa na bando unajiachia tu na iptv
  2. A

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Mimi miaka mitano na ushee kidogo, tokea nianze hizi mishe naishia kupokea tu kupitia posta.. Na nachagua shipping method zaidi ya moja, sometimes free cainiao, standard shipping lakini chaa ajabu ndio hivyo sina maajabu. Sijawahi kuletewa na spidaf hata siku moja... Siku moja nikaja kulizua...
  3. A

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    China to china elangu nilipata refund yangu saiz nipo miguu juu
  4. A

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Kimeumana, mbwembwe nyingi nishalizua uko
  5. A

    Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

    Uku znz sjui kama ao jamaa wanapatikana
  6. A

    Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

    Munasemaga apa ndo unapata spedaf.. Tokea 2021 nianze mishe izi, apo kwa shiping method sijawai bumiana na ilo neno, ata na parsel nilizowai ship Aliexpress sjawai pokea yenye nembo au chata spedaf.. Je Muliowai munafanaye au shipping adress izo za tz uko kwenu mumesevi vipi
  7. A

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Kuna mwamba yoyote aliewai kufanya ivi, iyo kutoka Aliexpress, inaitwa china to china
  8. A

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Mwenye kuitaj iyo finder, alfu 90. Nakufanyia kazi mpaka dsm
  9. A

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Siwezi jua tatzio ni nn au labda kuna kitu kwenye profile akaunt yangu akipo sawa.. Ila tokea ninunue vitu kwakweli sijawai tumiwa kwa spedaf, sana sana pasel zikija zinaishia posta nayotumia na pasel zote sijawai kuta ikiwa na chata izo za spedaf, na sijawai tumia shipping ya aina moja...
  10. A

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Huwa nachagua sana iyo ila kila pasel inayokuja nakuta naenda kuchukulia posta na haina chata iyo ya spidaf, labda nitajaribu kufuta box namba
  11. A

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Mi nimelalamika sana, munifundishe iyo spedaf nawapataje Aliexpress naona mumenigomea, nimewaomba adress ya0 ya china ili nipeleke mzigo pia mmenigomea no suweti, sasa nishapata mkombozi, kwa bei ile ile kama ya posta kwa vipasel vyangu vidogo vidogo vya 0.1kg.. 0.2, 0.3kg, Ndan ya siku 10-15
  12. A

    SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    Habari za umu, ivi awa speedaf je unaeza kuwatumia mzigo china kama tunavofanya kwa ma agent labda shamwaa au silent ocean., kama inaezekana je kuna mwenye anaejua delivery address yao ya china
  13. A

    Uzoefu wangu leo kupokea mizigo Speedaf

    Habari za umu, ivi awa speedaf je unaeza kuwatumia mzigo china kama tunavofanya kwa ma agent labda shamwaa au silent ocean., kama inaezekana je kuna mwenye anaejua delivery address yao ya china
  14. A

    Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

    Wakuu habari za umu, mm ni mdau mpya pia kuna kipengele nimekwama, cha kwanza kuna mdau apo juu katuma screenshot ya jinsi ya kujiunga au kufungua akaunt ya speedaf, anasema nch za africa zippo mbili, kati ya hizo tz haipo. Alafu la pili je kwa zanzibar kama nikinunua kitu naeza kuletewa...
  15. A

Back
Top Bottom