Recent content by Alvin Junior

  1. A

    Mchungaji: Josephine Mushumbusi tulijuana Facebook

    mama mshumbusi naanza kuwa na wasiwasi naye kuwa ni pandikizi LA kishushushu alilopenyezewa Dr slaa kiutaalam sana kwa ujasusi was hali ya juu bila ye kujua. subirini tutaona mwisho wake
  2. A

    Katibu Mkuu Kinana, ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

    mwanadiwani acha uongo.vhyo picha c ya Leo na hapo c arusha. nape Leo uwanjani amevaa kijani. dahhh unafiki huu
  3. A

    Katibu Mkuu Kinana, ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

    mwanadiwani pole kwa ccm arusha. nipo uwanjani hali ya mahudhurio ni aibu. mmetukodia Costa mbili kutoka chuoni njiro ila bado watu Hamna uwanjani
  4. A

    Leonel Messi

    c James milner tu.. yupo mwingine was man city alipigwa tobo na messi kabla ya milner
  5. A

    Ali Kiba na Diamond Platnumz wachaguliwa katika kamati ya kitaifa ya Katiba Mpya wakiwa na Dr Bana

    Wasanii hawa kwa taarifa za ndani ni kuwa wamechaguliwa kuwa wajumbe wa kamati ya kitaifa ya katiba mpya kuelekea kura ya ndio wakiwa na Prof Costa Mahalu, Dr Bana, Kingunge, William Lukuvi na Waheshimiwa wengine.
  6. A

    Picha: Tafsiri utakayoipata si dhamira ya Mh. katibu Mkuu

    Picha alifail kuwa uploaded
  7. A

    Picha: Tafsiri utakayoipata si dhamira ya Mh. katibu Mkuu

    Cheki mkono wa kushoto wa Mh Kinana.
  8. A

    Asheli wa Kigoma [kivutio kwa wageni]

    I'm really sorry bro. Nimelitumia neno manyoya bila kufikiri. Linaweza kuleta makwazo kwao au rafiki zao coz wanaweza kuwa humu pia coz wamesoma na nitakuwa nimewakosea kwa neno hilo. Nisamehewe kwa hilo bro nililitumia bila kufikiri. Msamaha wenu plz
  9. A

    Asheli wa Kigoma [kivutio kwa wageni]

    Labda sasa hivi ila zamani haikuwepo hiyo. Alafu wameshakuwa watu wazima. Mama yao yupo kawaida ila baba yao NFO mwenye asili hiyo na watoto walimfuata baba. Baba yao ni fund ujenzi uashi wa nyumba.. Watoto hao wamesoma na wengine wamemaliza sekondari. Wapo gud ila manyoya marefu tu mwili mzima...
  10. A

    Asheli wa Kigoma [kivutio kwa wageni]

    Natoka kigoma. Ashrli dinkundi la watu ila ni jina LA mmoja was wanafamilia flani waishio kigoma mjini maeneo ya Mlole ambapo familia hiyo wamekuwa wakizaliwa watoto wenye manyoya mwili mzima. Hiyo ndo tunaweza kusema ni kasoro labda ila maimbile mengine, ufahamu, uchapaji kazi, elimu, mapezi ...
  11. A

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Mungu anasema juhudi zetu hazitaenda bure
Back
Top Bottom