imagine wewe ni mwajili afu mfanyakazi wako amepatwa na tatizo akaenda kwenye matibabu afu baada ya mwaka ukamuona anafanya kazi nyingine utafanya nn?umemwambia arudi hataki utafanyeje? Nchi hii hakuna aliye juu ya sheria kila mtu ajue hilo ukifunja sheria utashughulikiwa kulingana na sheria...
umesema kweli kabisa Chadema wakivunja sheria wakaazibiwa wanaanza kutafuta huruma kwa wananchi na kutengeneza kama wameonewa awamu hii ni ya kufuata sheria bila shuruti
Mi nadhani mawakiri watawaruka kwenye tarehe na mwaka hawajui sheria hawa time will tell no case hapo mmekosea sana kwenye muda mtasema imechukuliwa lini one mistake one goal baoooooooooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.