Recent content by alvin 27

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mama wa kambo, anampenda mtoto wake kuliko wangu aliemkuta

    Unaaribiwa mtoto wewe shtuka mama wa kambo ukiona hivyo jua ana plan zake kichwani yeye sip mjinga ampende kuliko mwanae. Just wake up ur money. Keep us friend close but keep ur enemy closer.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa hayuko tayari kushindwa+CCM haiko tayari kushindwa=Serikali ya Mseto

    Lizaboni unaroho ya paka wewe yaani ni mbishi baraa. Hauoni ukweli hata kwa kuangalia tu lowasa atamshinda Magufuli jiandaeni pia hilo
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitasahau (simulizi ya kweli)

    OK itaendelea lini tena?
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliahidiana ahadi mimi na mke wangu mtoto akianza na kutamka mama au baba

    Kawaida mtoto huanza kutamka baba ndio nebo la kwanza analotamka mtoto kwa hiyo usiwe na wasi wasi
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa, unyumba sipati kwa mke wangu

    Usipopata mabadiriko ndani ya ndoa tafuta nnje ya ndoa na huo ndio uanaume halisi. Mwambie natangaza nia kuoa mke atakayeniridhisha kwa tendo la ndoa.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya habari vya magazeti ya kesho 5/09/2015

    Umesahau kimoja mkuu Dr slaa chama kilinipeleka marekani kujifunza.
  7. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Kahama pia umekatwa mda sio mrefu sijui tukaonee mafuriko wapi?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Erectile dysfunction Alikuwa anapigaje masturbation while he is erectile dysfunction.????? Erectile dysfunction kuna so many causes Some are treatable some are not na halihusiani na masterbation kabisa So kama anapiga punyeto lazima anasimamisha.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Dr. Azaveli Lwaitama Juu ya Lowassa Kuingia UKAWA

    Kweli kabisa
Back
Top Bottom