Recent content by alunamda

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tusifunge mjadala, Mshahara wa Mbunge kwa mwezi ni 12,892,000

    Acha hasira bi mbungr
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Spika Ndugai na mipango mkakati kuua upinzani Tanzania!!

    Upinzani hawezi kuua anaweza kuua vyama tu,upinzani ni mawazo hulka ya binadamu.mifano angalia nyumbani kwako sio kila kitu wewe mkeo na wanao mnakubaliana kila jambo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Intelijensia ya CHADEMA imefia wapi hadi wanachama wao wanaapishwa Ubunge viongozi hawana taarifa?

    Unaongea kama hujui ndugai na jamaa wengine wanavunja sheria wazi wazi!
  4. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jaji Kaijage ana nafasi nzuri ya kutengeneza historia na hata kupendekezwa kugombea Tuzo ya Amani ya Nobel

    Hujui unachoongea.....unamjua Mandela na de clak?na Dalai lama je? Kwa uchache hawa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa alipofikia Tundu Lissu, elimu yake Sheria imefika mwisho, haiwezi tena kumsaidia

    Unaamini Tanzania no body is above the law?kazi unayo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anafanya siasa za maendeleo bila kubagua

    Unamdanganya nani sasa?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa wa Dar: Makonda kalikoroga mwenyewe, nisihusishwe

    Kile kiwanja kipo pale kabla wewe na yeye hamjatoka kolomije.....ile ni mali ya waislam hata nani akitia nini ile ni mali yetu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

    Wazitoe ili muaminike......simple
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

    Alisoma katiba akakubaliana nayo........kaka hata hujiulizi kwamba haya anayaona dakika ya 89? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu hayataisha Tanzania, pamoja na yote haya wananchi wataichagua CCM

    Tatizo katiba tu kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila...

    Ila!? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CHADEMA, Devotha Minja akamatwa na Polisi kwa sababu anagawa barakoa Manispaa ya Morogoro anasababisha mkusanyiko

    Sheria ipi hebu fafanua shangazi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

    Do your homework, umepewa pakuanzia tafuta ukweli ndugu sio unasema sio kweli bila uchunguzi,kwani hii ndio mara ya kwanza kwa serikali kusema uongo? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom