Recent content by Altae04

  1. Altae04

    Usiwe mtu mwenye kukatisha rafiki yako tamaa

    Miongoni mwa vitu vinavyoturejesha nyuma vijana katika maendeleo ni kukatishwa tamaa na watu tofauti tofauti na mda mwengine unaweza kuwa na wazo zuri mtu ukamuambia tufanye pamoja na hili litatuletea faida kwa sote humkuta mtu kama huyo atakuambia hili jambo haliwezi fanikiwa kwani wewe uko na...
  2. Altae04

    Vipi mtu anaweza tumia mbinu mbali mbali katila kutengeneza project

    Ni kwa namna gani mtu anaweza kutengeneza kama film yenye viwango vya juu pia vile vile yenye na maudhui mazuri ili kuwavutia watazamaji wa kazi hio, mtu anatakiwa atumie mbinu zipi kuhakikisha jambo lake linakwenda vizuri na litaweza kukubalika kwenye jamii zenu
  3. Altae04

    Maendeleo ya teknolojia kwa kizazi kipya ulimwenguni kote

    Kila kitu kinaweza ikiwa utaweka nia na juhudi ya kulifanya jambo lako kuwa la kipekee kwa kutumia teknogia pia na kuwepo tiyari kwa namna yeyote ile iwezekanavyo.
  4. Altae04

    Maendeleo ya teknolojia kwa kizazi kipya ulimwenguni kote

    Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
Back
Top Bottom