Recent content by ALPHA2012

  1. ALPHA2012

    Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Asante sna ndugu. Hapo umemaliza utata wote, maelekezo yapo very clear
  2. ALPHA2012

    Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Asante sana kwa jibu hilo. Kesho itabidi nichungulie tena inbox.
  3. ALPHA2012

    Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Ndugu, naomba kufahamu kwa anayejua hizi Joining Instructions za kujiunga Chuo Kikuu cha Dar es salaam zinapatikanaje? Muda umeenda sana na masomo karibu yanakaribia. Nimeomba online na kujibiwa kuwa nimechaguliwa na pia nime confirm kwa kutumia code namba. Kwa sasa kwenye account yangu...
  4. ALPHA2012

    Soko la Vitabu vya General Studies

    Wadau, nimeandika Kitabu cha somo la General Studies kinachoitwa " EXCEL in General Studies". Ni Kitabu cha maswali na majibu. Kuna jumla ya maswali 108 pamoja na majibu yake. Somo hili hufundishwa wanafunzi wa Kidato cha 5 na 6 hapa nchini. Nimeshauza kwa baadhi ya wanafunzi waliopo Dar es...
  5. ALPHA2012

    Nauza vitabu vya General Studies

    Habari wana Jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kwa Kidato cha 5 na 6. Kitabu ni cha mfumo wa "Review' yaani kina maswali 108 pamoja na majibu yake. Bei ni shs 10,000. Mimi napatikana Dar es salaam sehemu za Tegeta. Unaweza kuagiza kwa kunipigia simu namba 0744...
  6. ALPHA2012

    Nauza Vitabu vya GS vya maswali na majibu

    Habari wana jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kidato cha 5 na 6. Vitabu ni aina ya "Review" kwa maana vina maswali takriban 108 pamoja na majibu yake. Bei yake ni shs 10,000 kila kimoja. Niko Dar es salaam sehemu za Tegeta lakini kama uko mbali nitakutumia...
  7. ALPHA2012

    Gharama za kudurufu kitabu

    Asante Mkuu kwa ushauri. Mimi nipo Bunju, Dar es salaam.
  8. ALPHA2012

    Gharama za kudurufu kitabu

    Shilingi 25,000 (Elfu ishirini na tano)
  9. ALPHA2012

    Gharama za kudurufu kitabu

    Wana JF, nimeandika Kitabu kizuri cha ECONOMICS Paper 1. Kwa kweli ni kizuri kwa kuwa nimeshaanza kukiuza kwa shule chache na kwa baadhi ya wanafunzi. Wanafunzi wote wamekisifia kwamba ni kizuri. Lakini nin shida moja. Sina Mtaji wa kutosha kutoa nakala nyingi ili nikisambaze nchi nzima au hata...
  10. ALPHA2012

    New economics book-Get your Copy

    Kwa wanafunzi wa Kidato cha 5 wa sasa na wale wanaotarajia kuanza kidato cha 5 mwezi Julia, 2016, Kitabu kipya cha somo la ECONOMICS kimetoka kwa paper 1. Kinafuata Syllabus mpya ya mwaka 2009. Unaweza kupata nakala yako kutoka kwa Mwandishi Alphonce Francis Kamisa kwa kupiga au Ku SMS namba...
Back
Top Bottom