Recent content by aloma_matei7

  1. aloma_matei7

    JamiiForums Tanzania Waafrika tulipotoshwa kuhusu Chifu Mangungo wa Msovero sio mjinga, Watanzania tuiombe familia yake msamaha na tumuenzi kama shujaa wa uwekezaji

    Alafu kazi wangefanya kina nani? Na je bila kumlipisha mtu kodi angefanya kazi?
  2. aloma_matei7

    JamiiForums Tanzania Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Nyingine hii huku.
  3. aloma_matei7

    JamiiForums Tanzania Wanazuoni: Tozo mpya ni batili hazifai. Mwigulu Nchemba amekurupuka. Double taxation haikubaliki

    Serikali yetu hapa mlipofika kwa kweli mnaelekea kubaya sana.
  4. aloma_matei7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tumjadili Aziz Ki

    Kweli kabisa mkuu.
  5. aloma_matei7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuona De Bruyne ndani ya Azizi Ki

    Kuna mtu atakuja aseme Lete mdhunguu lete mdhunguu............
  6. aloma_matei7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuona De Bruyne ndani ya Azizi Ki

    Ngoja niongezee ulichosahau. Byuti Byuti.
  7. aloma_matei7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tumjadili Aziz Ki

    Hivi huyu mtu inakuwaje mpaka sasa hachezi ulaya wakati kuna viande kibao kule?
  8. aloma_matei7

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Wanaboa sn cku hzi yn wana tamaa kupitiliza Sent using Jamii Forums mobile app
  9. aloma_matei7

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom mmeshakuwa kama tigo mnatamaa sn vifurushi vyenu vimejaa ubabaishaji na tamaa hamna mana siku si nyingi nawahama Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom