kwa ushauri wa kawaida idea n nzuri ila pata link up na watu wenye magarage hutojutia uwekezaji wako maana wale watakupa dairly and permanent consumption ya bidhaa zako na waweza pata vijana ukawa wawapa tips kwa kila kiwango cha manunuzi wanafanya kwko lazma wapeane mchongo kuvamia duka lako
Sizani kama io n shida kwa sasa maana pale pale gari ako haitopata go ahead ya registration kama kuna faults ktk angle yeyote so we utaambiwa tu kitu fulani hakiko sawa hadi urekebishe ndo gari ipitishwe
sikushauri kubadiri gearbox oil kama hmna shida yeyote umepata ktk transmittion maana ukicheza vibaya na io service jiandae kisaikolojia though waweza fanya as proper maintenance ya gari aftr 9000km au kila baada ya service ya engine x3
na shida hasa huwa inaanzia pale unapotoa gear box oil...
Pole sanaa mkuu siwez kushauri endesha ilo gari fanya lisogee kwa kuvutwa den ungefanya vapour cleaning ya io engine bay b4 yote aftr hapo fatilia kama kuna an u linkage ukiwa sure kila kitu kiko sawa waweza washa for testing not driving nxt only testing kuona how itabehave
Swala la kuiba kwanza n utaratibu wa garage husika ktk makabidhiano kati yako na wao pindi unaacha gari lako kwao kama waaacha kwa maneno tu na kusepa jiandae kulia hata uko kwa mchina maana wafanyakaz wa kawaida n watanzania
Swala la reseni n depends na wapi umeomba ila kama uko serious ndani ya siku 3 unapata reseni ako vzur tu bila ubabaishaji kwa hapa dar japo we mwywe uwe mwepesi sio mtu wa kulalamika tu huku mzito
Chang'ombe but if una issue ya kupiga rangi na kunyoosha mbna now watu wengi dar wanafanya na kwa ubora zaidi kuliko hata mchina mwywe na kwa gharama inayoeleweka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.