Recent content by allysoka

  1. A

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru: Vijana waliomsindikiza Lowasa kuchukua fomu jana ni VIBAKA

    Yani hata mimi na masters yangu ya law waniita kibaka. Hilo gazeti tukutane mahakamani. Fidia 100000000
  2. A

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Mkuu vipi machine au printa za kusafisha picha. Ambazo ni refarbished zinapatikana mji gani. Thanx in advance
  3. A

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Devis tofautisha watu wamikoa ya kazkazini na huko pwani. Jiongeze bro. Kilmanjro watu wamezoea hela na wanajua kuzitafuta
  4. A

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Yuko serious au anatania
  5. A

    JamiiForums Tanzania CCM imepaniki?

    Body language ya jk inamajibu ya uchaguzi 2015
  6. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hata ukipewa ugombee urais, huwezi itoa CCM madarakani, Lowassa anaweza..

    Huyo mke wake alianza kuota ufirst lady. Ndoto slaa kuwa rais isingewezekana. Slaa jiongeze kwa maslahi ya watz wote
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ndugai kufikishwa mahakamani kwa kosa la kumpiga Dk. Joseph Chilongani, atishia kujitoa CCM...

    Mungu ndiio mtetezi wetu. Maajabu yatatokea mwaka huu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Tujenge na kupanua chama kwanza. Slaa asijidanganye kwamba cdm kina umaarufu sana kuweza kuchukua dola. Bado sana. Slaa aongozwe na busara sio jazba na majivuno. Cdm sio slaa bali sisi wanachama
  9. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa Rais UKAWA, Mwenza - Slaa, Lipumba - Waziri Mkuu, Zitto naye ndani

    Nakuunga mkono watu wasiogope mabadikiko. Kwani mabadiliko hayazuiliki hata kama sio leo yatatokea wakati ujao
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Mbona maamuzi yanakua magumu, hata majasiri wanagwaya kutoa maamuzi maguma
  11. A

    JamiiForums Tanzania Jamii forum mpo juu

    Kwa kweli ninajifunza mengi
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mnyika unaleta vurugu Bungeni wakati Ubungo Makoka barabara imechakachuliwa

    Kazi ya mbunge sio kwenye jimbo lake tu, ni pamoja kutunga sheria na kusimamia serikali
Back
Top Bottom