Recent content by allyngaruma

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Umepanic, toa hoja nzito ya kuthibitisha uwepo wa mungu ili hasiyeamuni aweze kuamini uwepo wake.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Unachosoma kimeandikwa na mwandamu. Njoo na hoja ya kuthibitisha uwepo wa mungu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Hoja dhaifu sana hiyo ya kuthibitisha uwepo wa mungu.......Mbona binadamu wanafanya maovu halafu wanamsingizia shetani hasiyekuwepo?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Ulitakiwa mtoa post utoe hoja nzito kuthibitisha uwepo wa mungu, lakini mtoa post amekuja na mihemko bila hoja.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Rais tafadhali kula kichwa cha RC Mtanda, kitendo alichofanya CCM Kirumba kimakuharibia kuelekea uchaguzi mkuu

    Kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani bila kujali nani aliyesababisha hivyo lazima polisi waende kufanya kazi yao. Mfano watu walifungiana ndani ya vyumba.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

    Watu making wote wameelewa andiko.Tatizo walimu mnajiona mko "exceptional" kumbe mpo wa kila aina negatively kama alivyosema mtoa post.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mohamed Janabi, endelea kuelimisha

    Una kipaji kikubwa sana ila ujajijua tu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Suala la wabunge kuwa wengi katika sura hiyo yaweza kuwa sawa lakini kwanini walazimishe mbunge mwanaume na mwanamke? Mbunge achaguliwe kwa uwezo wake na sio jinsia yake!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa LATRA anapata wapi nguvu ya kupingana na Rais? Serikali inakataza kufunga biashara, yeye anafungia mabasi 35 yasitoe huduma

    Mbona LATRA wamesema makosa ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro!? Wamesema hawatoi tiketi za kielektronic.......Nadhani hapa tatizo ni LATRA kuifungia kampuni kutoka eneo pendwa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa LATRA anapata wapi nguvu ya kupingana na Rais? Serikali inakataza kufunga biashara, yeye anafungia mabasi 35 yasitoe huduma

    Kwahiyo ukiajiri watu unakuwa na kibali cha kuvunja Sheria?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mliokwazika na tamko la Papa jiungeni na kanisa aliloanzisha Padre Martin Luther la Lutheran msikae bila kusali

    Kama walipotosha...... PAPA ajitokeze hadharani na kutamka kwa sentensi fupi tu, "USHOGA HARAMU".
  12. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO ivunjwe kwa staili hii

    Umefikiria kwa uwezo wako wote na kuona kuwa tatizo la umeme TZ linatokana na Tanesco? Ebu fikiria vizuri halafu njoo hapa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Makonda anajibu kila swali, chama kimepata mtu sahihi kwa wakati sahihi

    1.Anachokijibu ni sahihi? 2. Baada ya kujibu tatizo linakuwa limeisha?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Umasikini umewageuza Wasomi kuwa Wajinga

    Msomi hawezi kuwa mjinga kwakuwa anajua anachokifanya. Tafuta msamiati mwingine wa kuwapa......... yaani mtu anayejua kuwa anchokifanya sio jambo sahihi kwake, je ni nani huyo?
Back
Top Bottom