Wadau nataka kujua sifa kufanya mtihani kidato sita kwa comb ya CBN na CBA kama aujawahi soma O-Level nutrion na agriculture
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wadau naomben mnisaidie kitu kimoja kwani chanchanganya sanaa. Hivi mtu kwa mfano ukasajiliwa kufanya mtihani kama school candidate alafu ukatoka katika hiyo shule ukaenda kujiandikisha kama private candidate. Swali: Matokeo yatatoka mwisho wa siku? Naombeni ufafanuzi plz.
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.