Recent content by allydou

  1. A

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu ni picha halisi ya jamii yetu

    Huo ndio ukweli, japo mchungu, ndio maana ajae leo huwezi ona tofauti yake na yule wa jana.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Ila hii nchi kwa kweli, hapana aisee. Kwamba mtu kapiga 75bn bila kufanya kazi yeyote. Ni mkataba tu kuvunjwa basi.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisingiziwa mengi sana

    Wapi katukana Mzee, punguzeni mihemuko ili akili zenu zifanye kazi vizuri
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisingiziwa mengi sana

    Sijawahi kuwa na chuki na Nyerere, ila yote aliyosema huyu mama ni kweli.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Mbona hilo eneo lipo miaka mingi tu. Ukiwa unaelekea bagamoyo sugar pale njiani kuna bango kubwa. Ni maeneo ya tafiti mbali mbali kama sijakosea. Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
  6. A

    JamiiForums Tanzania USHAURI: CCM iwe na Katibu wa Itikadi na Uenezi upande wa Bara na Makamu wake atoke visiwani

    Suluhisho la kudumu la kero za muungano ni kuwa na muundo wa serikali moja tu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Kanda ya ziwa inabebwa ma migodi.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Balozi Maajar kuwa mjumbe wa bodi Tanesco kuna walakini, tumesahau ya Dowans?

    Shivji kasema inaitwa Rex Attorneys
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM kuita gazeti la chama "vigazeti" ni kosa kubwa

    Kauli zake ni kama kuna vita kati ya wanaume na wanawake...kwa kweli bi mkubwa kajaa kiburi mno kwa sasa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni hili jambo Rais Samia kuzungumza na wanawake wa Tanzania siku ya Demokrasia duniani

    Si mnasema kila siku wanawake wapewe nafasi, basi ndio hivyo sasa. Tutaelewana tu huko mbeleni. Na huyo mama akikaa miaka kumi wanaume watajikuta katika harakati za kupigania haki zao.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Viva Tanzania, Viva Afande SACP Susan Kaganda, Rais Samia ni Msikivu

    Waswahili mmeanza tena na vioja vyenu. Hamuishi kusifia watu bila vigezo vya msingi. Mkishageukwa mnaanza kulia lia tena. Akina mama ndalichako hamkuisha kuwapigia debe haya semeni ni kipi cha maana kawafanyia. Tuache mamlaka husika zifanye kazi yake pindi muda muafaka utakapofika. Na mwisho...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Sakata la Sabaya tusilipime kwa yeye kufikishwa Mahakamani

    Hoja ya mtoa mada iko sahihi. Wenye akili kubwa tu ndio wataewa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

    Watanzania msiojitambua mshaanza upuuzi wenu. Hamjitambui coz hamjui nini mnataka na mkijua still hamjui njia sahihi za kufanikisha. Kosa kubwa watz hufanya siku zote ni kuwarekebisha CCm wanapokosea. Hata JK alipoamua kuleta katiba mpya mlianza maneno yenu haya, mwisho akawageuka. Mbona...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tunalo la kujifunza kwa maisha ya Benito Mussolini?

    Are you sure ni COVID
Back
Top Bottom