Recent content by Ally96

  1. Ally96

    wale wa sua mkopo tayari tumeshapewe

    Duuh majanga tuu mwaka huu kwel kazi tuu 662 out of 4000 na kitu
  2. Ally96

    sua loan allocation first year 2015/2016

    Daah jaman kwel hapa kazi tuu watu 662 kati ya watu 4000 naa huko
  3. Ally96

    UKAWA naomba tuangalie Takwimu hizi za tume juu ya Urais tujadiliane

    Mimi ni mwana ukawa damu nilikua narekodi zote jinsi jaji damian lubuva akiwa anatoa matokeo..Naomba nikusahihishe sehemu ndogo ulipokosea na ndipo idadi ilipokupoteza.alipokua akizitaja kura za mgombea wetu kipenz ENL kasema zipo 6042 sio 6420 kama ulizo ainisha hapo juu ndio maana ukitafuta...
  4. Ally96

    Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Heshima kwenu ndugu zanguni mimi ni first year niliechaguliwa kujiunga na chuo cha kilimo sua kozi ya Bsc.Agr general.Sina budi kuwauliza wakubwa zangu waliopita au waliopo sua juu ya suala hili.Nilikua nauliza gharama za chumba/hostel nje ya campus gharama zake zipoje na availability yake ipo...
  5. Ally96

    Kwa wale wa SUA tu

    Kuhusu joining hiyo unachk kwenye web ya sua but though hawajaiupdate ipo ya 2014 kuhusu email walisema watatutumia username n password through email tulizosubmit heslb ili tupakue invoice ya kulipa ada though bado naona kimya na muda ndio unakwisha hivo
  6. Ally96

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    Nimechaguliwa sua Bsc. Agriculture general
  7. Ally96

    Kuhama Shule

    Kibiti
  8. Ally96

    st Joseph university

    msaada upi
  9. Ally96

    SAUT wametoa majina ya undergraduate 2015/2016

    Mkuu umentisha aise kumbe majina yenyewe ya certificate na diploma sie wa bachelor tutasugua gaga sanaa mwaka huu
  10. Ally96

    msaada tafadhar kuhusu NECTA

    Heading umeandika necta ndani nacte kua makini
  11. Ally96

    For those finding miono high school

    you may visit our website Miono.ac.tz for more information ur warmly welcome at miono high school
  12. Ally96

    naomba msaada kwa shule ya private ya bweni kwa comb ya PCB

    Mkuuu shabaan robert haina bweni wala hostel.hostel za pale n za kujitegemea nje ya shule
  13. Ally96

    New Miono high school

    Miono high school wazee mkifika mtanambia kama nimedanganya
Back
Top Bottom