Recent content by ally1993

  1. A

    JamiiForums Tanzania Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    Hapo umenena mkuu... tunamkumbuka sana Walid..
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    The man who deserved this appointment is the late Walid Juma!! I hope you all remember walid!! Bade not a bad option either.
  3. A

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Kamishna wa Forodha (TRA) ndugu Walid Juma afariki dunia

    TRA KWISHA KABISA SASA... Hiyo nfasi hata simjui nni wakumreplace.. hapo ndio penyewe.. Walid Juma yupo Peponi inshaallah na kama kuna waliomfanyia mby basi wajijue nawao ipo siku wataondoka hpa duniani.. Kamanda aliejitolea jasho kwa sana kuliendeleza Taifa letu na kila mmoja anajua hilo na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Kamishna wa Forodha (TRA) ndugu Walid Juma afariki dunia

    Nakubaliana na wewe, Walid Juma ni mtu ambaye aliependa sana watu na kufanya kazi yake kwa umakini sasa,, kaiboresha customs sana kwani customs ndio kila kitu ya TRA.. Hakuna kama Walid Juma Taifa limepoteza kifaa!!
  5. A

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Kamishna wa Forodha (TRA) ndugu Walid Juma afariki dunia

    sio bajeti ni kuitunza,,familia yake wala haiihitaji hela ya serikali,, mshahara wake si mdogo kabisa kwa hiyo chunga na fikiria unachokisema
  6. A

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Kamishna wa Forodha (TRA) ndugu Walid Juma afariki dunia

    TRA yote inamjua sana kwamba huyu jamaa alikua ni mtu wa sheria sana,, Walid ameiboresha cutoms na TRA nzima kwa ujumla ilikuwa kama yeye ndie kamishna mkuu,, kwa kazi alioifanyia Taifa sasa serikaliiitizame na familia yake kwa makini kwani Walid Juma ni mfano
  7. A

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Kamishna wa Forodha (TRA) ndugu Walid Juma afariki dunia

    Walid JUma ni kifaa cha TRA,, huwezi kumfananisha na yeyote ambaye yupo serikalini kwa ujumla,, Mwenyez Mungu ampeleke peponi Inshallah
Back
Top Bottom