Recent content by ally ngomanzito

  1. ally ngomanzito

    GE2020 Mkutano wa Kitila Mkumbo wa kufunga kampeni jimbo la Ubungo

    LIVE: PROF.KITILA MKUMBO ANAHITIMISHA KAMPENI JIMBO LA UBUNGO
  2. ally ngomanzito

    GE2020 Mambo matatu aliyozungumza Profesa Kitila Mkumbo leo Makurumla

    Mgombea ubunge wa jimbo la ubungo kupitia Chama Cha mapinduzi Profesa Kitila Mkumbo amezungumzia Mambo matano muhimu atakayoanza kuyashughulikia punde tu akiapishwa kuwa mbunge. Profesa Kitila Mkumbo amesema "Nina usongo na kuwa mbunge. Nikiapishwa tu naanza kupambana na kero za wana Ubungo...
  3. ally ngomanzito

    GE2020 Mgombea pendwa wa Ubunge Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo akiwa katika kampeni za mtaa kwa mtaa

    [emoji625]MTAA KWA MTAA NA MKUMBO.[emoji625] Mgombea pendwa wa Ubunge Jimbo la Ubungo Prof. KITILA MKUMBO akiwa katika kampeni za mtaa kwa mtaa kata ya Mabibo na Manzese. Akisikiliza kero na kutumwa ya kusimamia wana Ubungo baada ya kumpa ridhaa kwa KUMCHAGUA [emoji736] tarehe 28 Oct...
  4. ally ngomanzito

    GE2020 Rais Magufuli asema soko la Mabibo, maarufu kama Mahakama ya Ndizi kumilikiwa na wananchi

    Kitila aomba soko, Magufuli ampa hapohapo. Rais John Magufuli amewapa wafanyabiashara wa Soko la Ndizi Mabibo umiliki wa soko baada ya kuombwa na mgombea ubunge wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, leo. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Barafu, Mburahati, Rais...
  5. ally ngomanzito

    GE2020 Faida ya Prof. Kitila kwa Ubungo, Dar

    Kitila mkumbo ni chaguo sahihi kwa ubungo na siasa za Sasa. Katika wakati ccm imefanya maamuzi sahihi kwa mazingira sahihi ,ni kipindi hiki walipopitisha majina kama Kitila Mkumbo kwenda bungeni
  6. ally ngomanzito

    GE2020 Jimbo la Ubungo CHADEMA linawashindwa?

    Hao ambao si wasomi Sana ndio wamefail..Mnyika hajamaliza degree amefail,Kubenea naye kawaida.bonny ana shahada ya ualimu pia naye amefail kwenye umeya...
  7. ally ngomanzito

    GE2020 Jimbo la Ubungo CHADEMA linawashindwa?

    Kwani ule mfuko wa jimbo huwa ni wa kazi gani !? Usimamizi wa barabara za mitaa ni kazi yakinani !? UBUNGO IKO NYUMA katika maendeleo sababu ya usimamizi mdogo wa viongozi wa serikali ya mtaa.1:diwani (bonny- chadema) 2:meya(bony- chadema) 3:mbunge(Chadema) KWA UJUMLA CHADEMA WAMEFELI KULIMUDU...
  8. ally ngomanzito

    GE2020 Jimbo la Ubungo CHADEMA linawashindwa?

    Flyover ni mradi wa serikali kuu kwa ufadhili wa world bank hakuna mkono wa mbunge wala serikali ya mtaa...labda jingine sio hili la sasa
  9. ally ngomanzito

    GE2020 Jimbo la Ubungo CHADEMA linawashindwa?

    Kiukweli nimekaa nikajiuliza Sana,na naomba tushare hili hapa. JIMBO LA UBUNGO CHADEMA LINAWASHINDWA? Kwanini nimewaza hivyo!!? mwaka 2010 mlituletea John Mnyika na kutuaminisha ndio mzizi wa fitina wa shida za ubungo,lakini amekaa miaka yake mitano tu nyie wenyewe kwa tathmin zenu za ndani...
  10. ally ngomanzito

    GE2020 Prof. Kitila Mkumbo aahidi kushughulikia suala la fidia Mto Ng'ombe

    Na John Marwa, Darmpya Blog Mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Profesa Kitila Mkumbo, amewaahidi wafanyabiashara na wakazi wa kata ya Manzese kuwa ataboresha mazingira na miundombinu ya soko la Manzese ili wafanyabiashara wafanye kazi katika mazingira mazuri...
  11. ally ngomanzito

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Ameandika mdau @dr.johnheshima huko mjini Instagram Ni swali jepesi lenye jibu la ndio au hapana, lakini kabla hujajibu linahitaji tafiti isiyo rasmi kujihakiki. Iko hivi, bi mkubwa, mamaake mwenyewe yupo mjini baada ya kaziara kafupi ka kuwatembelea marafiki zake wa zamani miji kadhaa ya...
  12. ally ngomanzito

    GE2020 Profesa Kitila Mkumbo yupo stand ya mkoa anazungumza sasa hivi

    Kumbuka kura ni siri ya mtu... kwa sasa,kila mtu anadi sera zake ilo ndio la msingi.
  13. ally ngomanzito

    GE2020 Profesa Kitila Mkumbo yupo stand ya mkoa anazungumza sasa hivi

    Mgombea Ubunge kwa jimbo la Ubungo kupitia CCM Profesa Kitila Mkumbo yupo mitaa hii ya Stand ya Mabasai ya Mkoa.
  14. ally ngomanzito

    TCRA wafanya ukaguzi wa mwisho na kuiruhusu radio 5 kurudi hewani Dec. 16

    Mamlaka ya Mawasiliano Nchini Tanzania TCRA, leo December 14 imefanya Ukaguzi wa mwisho, Kujiridhisha na Kuruhusu Kituo cha Utangazaji cha Radio5 Arusha kurudisha Matangazo yake hewani ifikapo December 16 mwaka huu 2016. Akiongea na Viongozi na baadhi ya Wafanyakazi wa Radio5 baada ya...
Back
Top Bottom