Miccm ipo km mizukule eti nyie miccm mmerogwa au ? Kikwete umri wake 65 years Slaa 65 years. Lowasa 64 years Membe 65 years sijui ya. Baba yako ni mingapi ? haki ya kugombea kwa mujibu wa katiba ya nchi yetu kuanzia miaka 40 lkn katiba aijaelekeza...
Kama wewe una Elimu ya kutosha na una miliki Kadi ya Chadema kwa zaidi ya miaka 7 nyuma njoo tukufanye wewe kuwa mgombea wetu wa kiti cha Urais usiwe unatumwa bila kujijua tumia akili yako kutafakari mambo nchi inaitaji Chama change Sera kukemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.