CHADEMA Chama Bora Kisicho Na Watu Bora..

CHADEMA Chama Bora Kisicho Na Watu Bora..

Koti la ukawa likiwabana cuf na nccr wakaamua kulivua ndio utakuwa mwisho wa cdm, mtu anayweza kuuzika nadhani ni lissu tu
 
Wakuu Najua Ntajuta Kwa Crash Ntazopata Hapa Lakini Nilazima Niseme Na Pakusemea Mimi Ni Hapa Tu

Binafsi Mimi Kama Mwanachama Hai Wa Cdm Napenda Sana Kwa Mikakati Yake Na Haswa Pale Walipoweza Kupambana Na Hujuma Za Ccm Ambayo Hutumha Dharama Yoyote Kudhofisha Upinzani.

CHADEMA Kama Wanavyojiita Kuwa Wao Ni Mpango Wa Mungu Wameweza Kupambana Na Hujuma Izi Na Twaweza Sema Wamefanikiwa Kwa Kiwango Cha Juu Wananchi Wamewaelewa Ila Tatizo Ni Kuwa Nani Sasa Alie Bora Cdm Asimame Awe Rais Wetu Atukomboe
Nianze Na Slaa Umri Umepa Mkono Na Tunaona Kama Kazi Hi Inamwitaji Kijana Mwenyd Ari Na Nguvu
Mbowe Elimu Yake Haitoshi Na Pia Si Mtu Anayeweza Kufit Kwenye Ikulu Yetu Tukufu Kutokana Na Kujichanganya Na Kila Mtu Kama Rais Wetu Wa Sasa Alivyokuwa. Sasa Nani Bora Chadema Tumpe Mikoba Atuvushe?

Absolute nonsense! Chama kiwe bora bila watu bora?! Hâta robot ili ifanye kazi vizuri inahitaji programmer mzuri, Usione vyaelea, vimeundwa! Unataja elimu, mbona shahada ya Havard, one of the most high profile universities in the world haijamsaidia mtemi Chenge kutofanya ufisadi!
 
ko watu makini ni MAGAMBA!!pole sana kama kulongwa umelongwa na aliekuloga kazikwa na dawa!!
 
Kama wewe una Elimu ya kutosha na una miliki Kadi ya Chadema kwa zaidi ya miaka 7 nyuma njoo tukufanye wewe kuwa mgombea wetu wa kiti cha Urais usiwe unatumwa bila kujijua tumia akili yako kutafakari mambo nchi inaitaji Chama change Sera kukemea maovu na kupinga unyanyasaji na ukandamizaji sio kingine ni Cdm chini ya mwamvuli wa Ukawa
 
Bora thread, wachangiaji Bora

Akili ya kawaida inaelekeza kwamba huwezi kupata chama bora bila viongozi bora. Viongozi bora hutengeneza chama bora. Nyerere alikuwa kiongozi bora CCM na ndiyo maana CCM ya wakati wake ilikuwa bora, leo hii chama kinaongozwa na makanjanja na matokeo yake ndiyo kama hayo tunayoyaona.
 
Back
Top Bottom