Tunajua Kubenea anatafuta kick ila Kwa hili amepotea mazima.... Watanzania sio wajinga kama yeye....... Alichokitafuta ndicho alichokipata ila wananchi tumegoma kutoa credibility Kwa Ujinga kama wake....
Kama amepindisha straight hiko wapi!?? Ukiona mgomvi wako amechukua nenda moja katika ugomvi mrefu Tambua amekosa point so direct Yuko na kosa Kubenea hawezi usuruhishi.
Wadau, amani iwe kwenu.
Inaonekana ama Kubenea hajui majukumu yake ama anatafuta umaarufu katika mambo ambayo hana uwezo nayo.
Tangu achaguliwe kuwa mbunge, Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amekuwa kituko nje na ndani ya bunge. Ndani ya Bunge, Saed Kubenea anaonekana mtu wa jazba, chuki, husda...
Waziri wa Afya,Maendeleo ya jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu na naibu wake Dr. Hamisi Kigwangalla
Leo wamekutana na menejimenti ya wizara ya Afya jijini Dar es salaam kwa lengo la kufuatilia utendaji na utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya wizara.
Watendaji wa wizara walitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.