Recent content by Ally Jerry

  1. A

    JamiiForums Tanzania Breaking newz from heslb (majina mengine yatoka tena)

    Ahsante mkuu,mungu ashukuriwe katika hili!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Breaking newz from heslb (majina mengine yatoka tena)

    Msaada wakuu,namba ni S1576/0077/2010
  3. A

    JamiiForums Tanzania Waliokosa mkopo waongezeka mwaka huu wa 1013

    Huo ualimu unaousema wewe watu wamekosa mkopo kabisa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Harakati za kwenda wizara ya elimu zaweza kuzaa matunda juu ya hatma ya tuliokosa mkopo 2013/2014

    Good work vijana maana hawa ndugu wamezid uonevu et mtu unachukua bacherol of science in education with biology na ni yatima afu unakosa mkopo,huu c uonevu huu!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Know how,,,is not matted,,,,,,,but know who,,is matted,,,mikopo.

    Yaani hawa ndugu siwaelewi hata kidogo nimesoma shule ya kata,sina mzazi hata mmoja na anayenisomesha ni mkulima na nachukua bachorol of education in science with biology,na vigezo vyote niliwasilisha lakini sijapata mkopo kabisa yaan sijui nimewakosea nin hawa ndugu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    nasikia wametoa asilimia 94.06 kwa wanatakiwa kupata mkopo,wiki ijayo yanatolewa majina mengine yaliyobaki,tuliokosa mikopo tuwe na subira mungu atatenda miujiza
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Tanzania tungeweza?

    Acha uongo wewe!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    kama wapo na wanajijua basi wachukue tahadhar ya kuzuia maambukizi kwa wengine kwan wakikaa kimya na bila kuchukua tahadhari yeyote kuzuia maambukizi watakuwa wanafanya mauaji,hakuna tofauti na mtu anaeua kwa kisu au bastola
  9. A

    JamiiForums Tanzania Haya wale wa st.joseph university matawi yote check hapa

    mbona ya taw la arusha siyaoni mkuu?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Jkt ipo kama kawaida......!!

    Hv Tanzania kuna serikal ngap maana hakuna cordination kabisa
Back
Top Bottom