Hili halina mantiki yoyote kwani hata hapa nchini vyuo vingi havina sifa ya kutoa degree japo tumevipa hadhi hiyo. Kijana anachaguliwa Chuo ambacho kila kitu anajitegemea kuanzia kupanga Chumba, kujipikia, Lecturers hadi watoke Vyuo vingine kuja kufundisha na Ada kubwa kubwa hata pale kijana...
Surgery haihitaji Surgeon pekee bali anatakiwa na Anaesthetist awepo vile vile. Kuna utaratibu gani kuhakikisha wataalam hawa wapo wa kutosha kabla hatujatoa matamko ya aina hii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.