Recent content by Ally Abdulrahman

  1. Ally Abdulrahman

    Wakuu hiki kigezo cha " awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kingereza Maneno 100 kw dakika 1.

    Habari zenu. Naomba kuuliza kw MTU ambae ana diploma ya Business Administration kw mfano hizi nafasi za mwandish mwendesh ofisi au MTENDAJI ambazo sifa Zake ni Kam ifuatavyo " Mwenye stashahada ya uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili . Aidha awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili...
  2. Ally Abdulrahman

    Kwanini Congo isitumie bahari ya Atlantic kusafirisha bidhaa?

    Sina utaalamu San lakin nahis huwend Indian ocean ndio meli nyingi zinatumia hio bahati na inakuwa rahis zaidi kuliko bahati ya Atlantic. Kwa mfano miak Kam mitatu ivi iliyopita kulikuw na meli kubw ya makontena ilikwam suez kanal misri ns ikaziba njia yenyew kbis kw muda WA wiki mzim. Kuumbuk...
  3. Ally Abdulrahman

    Maisha halisi nchini Marekani

    Wabongo bhna we km unayapinga ya jamaa. Yaseme yako yaliyokuw sahihi sas . MTU anatupa hint munampinga ukiambiw wew unajua na haukuw na mpango WA kutuambia
  4. Ally Abdulrahman

    Maisha halisi nchini Marekani

    We jamaaebu tuache kwnz. Umeshakaa marekani umepiga pesa saiv unakuja kushauri wenzio wasiende kw Kuwa wew umerud sjui umeshafanikiwa . Waache watu wakatafute maisha Bongo nyoso
  5. Ally Abdulrahman

    Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Pole San mtoa mada. Na hongera . itakuw pepa yenu mulifaulu san Nd maan wamewek hio 85. Kw Sisi watu WA security pepa yetu walichukua kuanzia 56 kuja juu. Ila naomb kuuliza kw wazoefu inachukua muda gani adi watu kuitwa kazini kw wataofaulu ?
  6. Ally Abdulrahman

    Kama hamtaki kuajiri msituvuruge majobless

    Pole San mkuu. Mie pia niliomba nafas ya port clerk na walinitumia aptitude test link ya online nimepiga since February 4 mwak huu. Naon kimya mpk saiv Nd Huw inachukua muda mwngn hivi au Nishachinjwa tyr
  7. Ally Abdulrahman

    Msaada maswali ya interview ya nafasi ya Assistant Airport security TAA

    Wakuu. Naomben hint za maswali ya interview ya assistant airport security kw wenye uzoefu nazo. Nimekuw shortlisted Nd maan naomb maswali
  8. Ally Abdulrahman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    TAA zile za portal Yao sio ya ajira Portal
  9. Ally Abdulrahman

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

    Msomi wew apo unaejua kuandika vzr
  10. Ally Abdulrahman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Oral maswali yalikuwaje katik hio Kada
  11. Ally Abdulrahman

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

    Wapi unawek Chet cha ndoa mbon minaji race San vijan dah. Me mbon sijaon hio option. Na pia nauliza wadau kusem km umeoa haiwez kuleta shida baadae au bor kuwek single Tu
  12. Ally Abdulrahman

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

    Oya wadau kwny ku.upload Chet pale ni Chet peke yake au Na transcript Una vi scan pamoja
Back
Top Bottom