Recent content by alleyne

  1. A

    JamiiForums Tanzania LL,B ,MZUMBE na UDSM ni kweli ndio shule ngumu?

    na hao watu wa llb ndo kila siku wanalia
  2. A

    JamiiForums Tanzania LL,B ,MZUMBE na UDSM ni kweli ndio shule ngumu?

    mzumbe pazur ila ndo shule ngumu zaidi ya zote
  3. A

    JamiiForums Tanzania BG graduate program- kwa tanzania

    account and finance
  4. A

    JamiiForums Tanzania BG graduate program- kwa tanzania

    wakuu naomba mnisaidie kwa wa nao ijua vizur hiyo graduate program au kama umesha apply noamba unisaidie kwa information
  5. A

    JamiiForums Tanzania Sponsorship ya kusoma masters of sc. In Finance

    nlisoma account and finance ya mzumbe mkuu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sponsorship ya kusoma masters of sc. In Finance

    Wadau natafuta sponsor wakuniwezesha ni some masters ya hapa nchini ya IAA au IFM kwa anayejua michakato ya kuniwezesha kufanikiwa tusaidiane
  7. A

    JamiiForums Tanzania Sponsorship ya kusoma masters of Sc in Finance

    Wadau naomben mnisaidie natafuta sponsorship kwa anayejua michakato ya kupata hizo sponsorshp tusaidiane
  8. A

    JamiiForums Tanzania Chinese Government Scholarship na TOEFL

    Naombeni kujua kwa mwenye info kama scholarship za China zinahitaji mtu umefanya ''test of english as foreign language''(TOEFL)
  9. A

    JamiiForums Tanzania huu mwaka bwana!!!

    kha..!! Mi leo nmeshangaa sana et ndo mwaka mpya nikijua ntaona kumebadilika kidogo labda ata jua lingewaka la rangi ya blue.....agrrr....!!! damn it huu mwaka nahisi utakua ni mtumba NB:sio lazima uelewe,hata ukidisi vingine utaelewa ukizeeka.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tuombe maelekezo kwanza kabla hatujaanza kukitumia.

    hahahaaa....jamaa yupo vzuri
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hlw!!!

    Habri zenu wakubwa!!!
Back
Top Bottom