Recent content by ALLEN KP

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wakati sisi tukiwalinda Maraisi wastaafu,wenzetu hata Raisi alie madarakani anashitakiwa

    Wanafki hao. Chambua kitu kwa kuangalia mukhuktaza wa nchi husika
  2. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli angesomea sanaa anagefanya vizuri kuliko kemia.

    Mtoa mada unaonesha ukiliza ulyokomaa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanaodai rais kuongezewa muda sio wachochezi?

    Magu bado anamvua ya miaka 8. Ilo mulkumbuke
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wanaodai rais kuongezewa muda sio wachochezi?

    Mbona mnaropoka tu. Kwa vitu visivyo na mantiki
  5. A

    JamiiForums Tanzania ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    Hivi unajua leseni ya uchimbaji, usafirshaji , utafiti na kanuni za usajil Wa makampuni?? Usipost pumba wewe? Umekuwa km Tundu Lisu
  6. A

    JamiiForums Tanzania YATOKANAYO na taarifa za kamati mbili za makinikia ni kusaka fidia!

    Mtoa mada umetoa shudu tu. Ni mtu Wa Lisu nn???
  7. A

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    All Tanzanian people we're suppose to stand together without to judge our religious, political parties and tribes
  8. A

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Acha ujinga wewe mbona ameongea mengi ya mana we ndy unabaki kuangalia hicho!!! Kwel we hamnazo!! Demokrasia mbele ya kuibiwa!!! Iyo UK inaratbu kuondoa human right ili watekeleze mambo yao vizur
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwa shujaa huenda kilio kwa mwoga kicheko

    Aisee yasemwayo kweli yapo km hayapo yatatokea
  10. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tushikamane Wakati Huu wa Majonzi ya Kupoteza Askari Wetu

    Mungu awalaze roho za marehem mahali pema peponi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijafikia utekaji bali kuna mahojiano kwaajili ya ufafanuzi wa mambo kadhaa

    Naisi kwel wengi hawajui maana ya utekaji
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hongera TISS kwa kazi nzuri ya kulinda na kudumisha amani ya Nchi yetu

    Ndy mana kasema moja ya jukum lao n kuhakikisha uchum wa nchi unastawi. Sasa kukusanya kodi kuna lengo gan km sio kustawisha uchum na kubust maendeleo!!! Soma kwanza kiundani post ndy utoe maoni. Inaonesha unajbu swali bila ata kuelewa???
  13. A

    JamiiForums Tanzania Spika awataka Freeman Mbowe na Halima Mdee wafike mbele ya Kamati ya Maadili. Matusi yawagharimu

    Kwan na hili tena linaitaji vyeti!!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Spika awataka Freeman Mbowe na Halima Mdee wafike mbele ya Kamati ya Maadili. Matusi yawagharimu

    Ilikuwa ya bunge live alisema "acheni usenge na ufala"
  15. A

    JamiiForums Tanzania Spika awataka Freeman Mbowe na Halima Mdee wafike mbele ya Kamati ya Maadili. Matusi yawagharimu

    Ujasikiliza bunge ndugu!!! Siku ya uchaguz wa wabunge wa bunge la Afrika mashariki!!
Back
Top Bottom