Recent content by allen creo

  1. allen creo

    Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

    mkuu naweza pata namba zako nijue at least uliyoyapata toka wizarani? niko mkoani ndio maana nahitaji mawasiliano yako nifahamu zaidi ilo soko la india
  2. allen creo

    Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

    Una kiasi gani mkuu, unapatikana wapi?
  3. allen creo

    Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Mkuu nakushauri ukilima usichanganye na maindi,utapata gunia chache za mbaazi
  4. allen creo

    Bei ya ufuta mwaka huu ni majanga

    Jaribu kuvumilia labda bei itapanda teh teh teh
  5. allen creo

    Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    na bei yake kwa gunia moja ni sh ngapi mkuu?
  6. allen creo

    Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    bei zao zinasimama sh ngapi kwa kilo mkuu?
  7. allen creo

    Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Nashkuru kwa taharifa yako mkuu
  8. allen creo

    Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    mkuu wasasa kumbe tupo pamoja kwenye hii issue, umelimia wapi mwenzangu
  9. allen creo

    Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Ntashkuru sana mkuu, nifowadie namba za hao jamaa,Thanks kwa msaada
  10. allen creo

    Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

    mwenye kujua dawa za kuzuia wadudu kwenye mbaazi please share the knowledge with me...
  11. allen creo

    Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Morogoro njia ya kwenda kilosa kijiji cha Msowero kitongoji kinaitwa Kumbilwa
  12. allen creo

    Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    bado shamba ,mkuu, kiasi natarajia kuvuna mweiz wa 7 mwishoni najaribu kupata uhakika wa soko kabisa,niko na jamaa yangu tulipiga eka 15
  13. allen creo

    Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Habari wanakilimo wenzangu, Mwenye ushauri na soko la mbaazi na wanunuzi wa bei nzuri wa hili zao,Shamba langu lipo morogoro.
Back
Top Bottom