Recent content by Allen bj

  1. Allen bj

    Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    MUNGU ANISAIDIE HEKIMA NA BUSARA KAMA SULEMA NA MBOWE NA I KAMA MTOA POST MAANA UMBAVU KAMA HUU NI UJINGA NA AKILI MGANDO E MUNGU NISAIDIE
  2. Allen bj

    CHADEMA, wananchi wamewachoka mtashindwa zaidi 2020. Hamna sera shawishi

    Hahahahaaaaaa Tunahitaji kuwa na KATIBA BORA KAMA YA KENYA NA SOUTH AFRIKA LKN KWA KATIBA HII ya Sisi Wananchi kuwa Watu wa kuburuzwa na Kuwa Watu na Ndio Mzeeee ni tatizo Serikali ya Awamu ya Tano Inatumia Vizur kujihami kupitia UDHAIFU WA KATIBA YETU yaani Serikali ndo iwe na Amri kuliko...
  3. Allen bj

    SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    Kugharamia Msiba na Mazishi ndo kutayarudisha MAISHA ya huyo Binti wa Watu.
  4. Allen bj

    Nape amtaka Mbowe ajiuzulu, ameaibisha Upinzani

    Naomba Kuona Fimbo ya Ndugai pia akimchalaza Mwenzake Yaani Ukiwa CCM ni sawa na Uko Timu Shetani Dhambi yoyote ukifanya huwezi kuiona Kama ni Dhambi
  5. Allen bj

    Joseph Kasheku ''Musukuma'' amvaa Lema na Msigwa, adai yeye ana akili kuliko Mbowe

    Ki uhalisia hata hamfikii Mbunge viti maalumu Upendo
  6. Allen bj

    John Guninita arudi CCM akiihama CHADEMA, amwomba radhi Rais Magufuli

    Ujinga mwingine bana Mtu wa Kuja akirudi kwao unaweza UK an zaje Kchwa
  7. Allen bj

    Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule (Profesa Jay) akataliwa kumuona Joseph Mbilinyi (sugu)

    Sijui Baba ako analo? Ujinga mwingine bana we kufatilia Maisha ya Watu wakati hata humiliki San LG tu
  8. Allen bj

    Dr Molel azidi kuipasua CCM jimbo la Siha

    Hahahaaaaaa awataje tuanze nao
  9. Allen bj

    Madiwani watatu CHADEMA wasimamishwa vikao 3 baada ya kuihoji Serikali

    Serikali hii ukiihoji tu Serikali au Kumcharange M agufuri basi wewe ni mhujum Uchumi [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
  10. Allen bj

    CCM wapo kwenye kikao cha Siri Mwananyamala wakipewa maelekezo jinsi ya Kuratibu Kugawa sabuni chumvi, T-shirt na kanga

    Sijaziona Pushapu Au ziko Likizo sioni makeke ya Msukuma na Sendeka wako wap? Au ndo Ujinga mloufanya kusema ndio Mzee kwa Mtulia na bado Suruali zitawashuka Mtulia hauzikiiiii
  11. Allen bj

    INAUZWA Nauza piki piki fekon power 150,iko vizuri bado. (used)

    Ooooo ungekuwa Mkoani tungewasiliana tukafanya biashara
  12. Allen bj

    Kampeni zimeanza ila kuna watu wawili hawaonekani

    Na Yule aliyeitwa Tumbili yuko wap?
Back
Top Bottom